Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameelekeza Serengeti Boys (U17) wawekwe kambini kwa ajili ya maandalizi ya Kombe la Dunia 2030.
Siku hizi ngumu kuzikuta chupa za Konyagi zilizotumika zimetupwa hovyo, wazee wa fake wana vijana wao kabisa wanapita mitaani kuzikusanya!
Kama tu jamaa wa oil fake wanavyo kusanya makopo ya oil zilizotumika waende kujaza tena.
Ukitoka asubuhi kwenda kwenye mishemishe zako na ukarudi nyumbani salama shukuru Mungu mana uko barabarani kuna mambo mengi sana.
Ni Mungu tu anatulinda sio kwa uwezo wetu
Kuanzia mwezi ujao nauli mpya za pikipiki mtandao kwa safari isiyozid KM1 nauli kiwango cha chini itakuwa 1500 na kwa kiwango cha juu ni 2000.
Hakutakuwa na nauli ya 1000 tena.
Zingatia neno safari isiyozid KM1.
Nauli ya kawaida kwa tripu ni 500