Katika kitovu cha mji wa Mtwa Mkwawa Iringa, imesimama hotel bora na kubwa zaidi nyanda za juu kusini. Ukiwa katika hotel hii unafaidi view ya mji wote wa Iringa na jografia yake kwa uzuri kabisa.
Unaanzaje kutembelea nyanda za juu kusini bila kuitembelea hotel hii?
Asante 1000 kwa wafuasi wetu 1000 wa Facebook.
@LumiloClassicalHotel
Tunatoa shukrani zetu za dhati kwa wafuasi wetu zaidi ya 1000 waliotufuata kwenye ukurasa wetu wa facebook.
Tupigie
+255 766 460 008/+255 785 328 686
Uongozi na wafanyakazi wa Lumilo Classic Hotel wanawatakia watanzania wote maadhimisho mema ya kumbukumbu ya shujaa wa mapinduzi Mh. Abeid Amani Karume, Rais wa kwanza wa Zanzibar na makamu wa kwanza wa Rais wa Tanzania.
#Karumeday2022#Iringa#Iringampya#hotel#tbt#Tanzania
Picha iliyopigwa na moja ya wateja wetu akiwa juu ya hotel pendwa zaidi nyanda za juu kusini, Lumilo Classic Hotel.
Karibu Iringa. Karibu Lumilo Classic Hotel kwa huduma bora.
Tupigie
+255 766 460 008/+255 785 328 686
#Simbanguvumoja#iringa#hotel