Lupasi ya Ngozi Sio Mkorogo!
Lupasi si marashi, si mkorogo – ni ugonjwa wa kinga ya mwili unaoshambulia ngozi.
Wagonjwa wa Lupasi wanakumbwa na unyanyapaa, kutengwa, hata kuogopwa – jambo linalowaumiza kimwili na kiakili.
Tujifunze kutofautisha. Tuelimike kabla ya kuhukumu
Sio kweli kuwa mwanamke mwenye ugonjwa wa Lupasi hawezi kubeba ujauzito.
Ukweli ni kwamba Kwa mpangilio na ufatiliaji sahihi, mwanamke mwenye Lupasi anaweza kubeba mimba na kujifungua salama kabisa.
#UkweliKuhusuLupasi
Je, hedhi huathiri dalili za Lupus?
Ndiyo, wanawake walio na Lupus hukumbwa na changamoto zaidi za kiafya wakati wa hedhi kuliko nyakati nyingine kutokana na mabadiliko ya homoni yanayotokea mwilini.
Can a person with lupus live long?
🟢 YES! Currently, using modern treatments and good health care: More than 80–90% of Lupus patients live more than 10 years after diagnosis. Many go on to live 20 years or more for quality of life.
May 10 – World Lupus Day 🌍💜 On this important day, we join millions of people around the world to raise awareness about Lupus
Let's remember:
✅ Lupus is not a contagious disease.
✅ Early awareness can help better treatment.
✅ We need love, and support ...
things that hurt more than my illness are.., *Feeling like a burden
*The world moving without me
*Losting who I was
*Fighting for basic care
*Lack of support
*Struggling in silence
*Constantly misunderstood
*A future full of questions
*Watching dreams fade
*Felling isolated