@MwanaHabariNews Ila vitu vingine bwana. Sasa wanamkamataje wakati mbwa ni kitoewo kabisa. Bas na wanaochinja nguruwe wakamatwe. Mtu anakula kitu hakileti madhara halafu unamkamata hebu tumwogope Mungu aliyesema kavitawale vyoote
@earadiofm Ila kwa kweli na mimi sijapendezwa kabisa na hicho kitendo alichofanya huyo dogo kumdhihaki Rais wetu lakini naamini nyuma yake kuna watu hata sio wazazi wake yawezekana ni vijana tu wamempa hela dogo ili amchafue Raisi kakiminywa vizuri katataja woote.
@bajabiri Za chini chini nimeskia linakua na ic na unaweza kubalance joto kulingana na hali ya hewa na linauwezo wa kubadilika rangi koo ukinunua hilo jacket unaweza ukae miaka 10 bila ya kununua lingine linasifa nyingi in short ni jacket la maajabuπ±π±π±