Good morning?
Karibu tupambazuke kwa baraka na burudani @RadioCitizenFM
Wanipokea ukiwa wapi,kanisani wapi na una pambazuka na nani hii leo?
#PambazukaNaRadioCitizen
@Milele_FM @joygituro Uasin gishu county Ndani pamoja na Wife Bridget asafi simo wa logir murambi mameti elkana imbiakha mayor shatimba matandarua Suleiman Agnes tumbogunia #IbaadaYaMilele
Good morning, happy new year and karibu kwa Ibaada Ya Milele tubarikiwe pamoja hadi saa nne kamili. Umeamka vipi, uko wapi? Nena nasi tunapoamshana @joygituro @Milele_FM#IbaadaYaMilele