@IgoraIrene32964 Mbona umbo lako zuri fundi anakosea nini.Mwambie fundi vitu muhimu ambavyo unapenda ...mfano half iwe wapi,shingo kubwa au dogo,hupendi mikono ya aina hii pia mshirikiane kwenye kuchagua mshono.
Nenda kwa fundi ukijua unataka kushona nini.