Sijui kwa nini nacheka!.. makelele yote yale timu ya wananchi yaani mnashindwa kuwa na followers 1m
Lakini Yanga historia yake ni timu ya makuli kule bandarini so mambo haya ya dijito ni ngumu kujua
Unahangaika kweli!.. Nyie mnajitapa sana sijui mna wanachama wengi sijui vyuwazii wengi sijui wananchi sasa haya yawe reflected kwenye followers! Au wanachama na washabiki wenu hawana smart phones?
Halafu acha kufananisha Raja na TP Mazembe na ugoro wa ๐ธ
Makonda aliendesha genge la kuuwa watu wakati wa kambale akiwa na imani kuwa ananyamazisha watu wanaomkosoa Kambale.
Alikuwa na kikosi kabisa chenye instructions maalumu na kutekeleza mauaji haya kutaalamu sana! Watu walipaza sauti sana mpaka akazuiwa kukanyaga Marekabi kwa kuwa wana ushahidi wa uhusika wake kwenye kukatisha maisha ya watu wanaokosoa serikali
Alifanya haya kwa malengo ya kisiasa na kufurahisha Kambale ambaye alikuwa hataki kukosolewa.
Tumeingia awamu hii ambayo Rais amejipambanua kupenda amani, uhuru na mengine mengi na anachukia ukatili dhidi ya watu anaowaongoza.
Bahati mbaya sana ndani ya serikali yake kuna January Makamba aliyemteuwa na kumpa dhamana ya kuwa waziri anatumia ukaribu wake na kiongozi fulani ndani ya CCM aliyerudishwa awamu hii baada ya kutemwa na Kambale kupanga mipango ya kihalifu kiasi cha kutaka kuuwa watu kisa wanamkosoa yeye kama waziri na anasema nchi ilitia sana lakini sasa hivi kigogo analeta kelele. Mimi naleta kelele kwa sababu wizara ya nishati imejaa wizi na unadhilifu na Tanesco imeoza kwa rushwa. Nafanya hivyo kutimiza wajibu wangu wa kusema ukweli na maoni yangu. Sijawahi kuwaza kuwa kusema hivi ni kosa linalostahili kuuwawa.
Bahati mbaya sana informer wenu kule Sinza makaburini kawalia 5m TZS yenu na kuwapa info hewa na mlivyo wajinga mmekodisha watu na kuwapa mamilioni ya hela hakafu mmefeli..
Kama leo mtu ni waziri wa nishati tu anakasirika kiasi cha kutaka kuuwa watu kisa kakosolewa hivi huyu akiwa PM au Rais(kama anavyoota na kudanganywa na waganga wake) si atageuka kuwa Pinochet huyu? Yaani usisemwe wewe nani? Ufanye madudu wizarani watanzania wanalalamika kila siku giza uko busy na mi project ya magumashi yebye output ZERO hutaki tuseme? How?
January mimi hutaniuwa na hutaweza kuniuwa lakini mimi ntakukaanga kama nilivomfanya kambale na utatangulia wewe kufa!.. halafu tutaendelea tukikutana mbinguni kama tutapangwa bweni moja!.
Endelea tu mimi sijuogopi na niko tayari kwa vita virefu sana lakini usikae ukadhani mi naogopa mauchawi ya babako na hayo mabunduki
Mpina nenda kakipe deni unalidaiwa na hii hoteli mpaka wakazuia mizigo yako bubge lililopita? Yaani mbunge mzima unashindwa kulipa 4m TZS? Hela za poaho mnalipwa mnakwenda kulewa na kununua midege isiyoliwa Bambalaga
Wewe na Sukuma Gang mlishafeki na muda webu uliisha! Unataka kumjua akiyelazimisha single source ya hiyo SGR? Unataka tukutajie aliyepokea hela kwa mchina kule zinakofichwa hela zao ni nani? Mtaje huyo mama una ubavu siyo unahangaika na watu wasiohusika
Ungejikita zaidi kwenye kulipa feni kwenye hii hoteli ingesaidia sana maana wameshakupeleka mpaka kwa katibu wa bunge lakini hutaki kulipa tu!..
Kaa ma Kadogosa akwambie kwa bibi bado yupo mpaka sasa na nani yuko nyuma ya hiyo single source ya SGR
Kwa kifupi hujui kitu na hujui wahusika!
Mfungo umekwisha na kesho ndiyo EID.. Tunawapongeza sana waliofunga na Mungu awabariki
ILA sasa tukirudi kuna yafuatayo
๐๐ป Hatutamuonea haya yoyote aliyetajwa kwenye report ya CAG. Tutayasema madudu haya kila siku mpaka watanzania wajue ni nani kapewa dhamana lakini anakwapua mabilioni ya fedha za watanzania
๐๐ปTutaendelea kushinikiza ukweli na hatua zichukuliwe kwa watu wote waliotajwa kwenye report ya CAG kuhusika na madudu ya upotevu wa fedha za watanzania
๐๐ปTutasimama kidete sana bila kuogopa kuwaambia watanzania ni kwa nini tuna mawaziri wa hovyo na majangiri ya kutupwa yanayotafuna hii nchi bila huruma yoyote
๐๐ปTutaendelea kuwashinikiza makatibu wakuu wa mawizara wafanye kwa haraka maagizo waliyopewa na Mheshimiwa Rais juu ya yaliyomo kwenye report ya CAG
Kwa kuwa wizara ni nyingi sana na makorokoro ni mengi kwa hiyo ni vyema tukagawana majukumu juu ya mambo haya..
Baadhi yetu tumejipa shughuli uya TANESCO NA NISHATI ambako watu wengi wakiwemo waandishi na wabunge wanaogopa kuwagusa
Sisi tunajitwisha hilo zigo na tuko serious... TUKUTANE HAPA HAPA 24/7 . Hatuwezi kuwa na story za kwenye makaratasi za miyeyusho tu ya sijui nini halafu umeme hakuna nchi lina mgao as if tuko Ukraine huku hela za watanzania mnazitafuna
Hatuogopi na tunawangoja hapa..Yaani mtatapika tu hilo BUNGO mbona
Kwa hiyo kwa kuwa ni mawaziri na mna uwezo wa hela na mnashirikiana na watoto wa viongozi wakuu basi mnadhani mnaweza kuuwa watu au vipi?
Haya twende tu tutaona mwisho wake! Alikuwepo kambale hapa , kuweni na kiasi Mungu ana njia zake ambazo siyo njia zenu.
Kuna siku mtaamka hamtaamini mnachosikia na kuona kwenye ma TIVII yenu..
Mungu huwa hakubali wateule wake wafe kwa mipango ya kishetani ndiyo maana hata huu ujinga wako bwana fulani ume unfold hata kabla ya kutekelezwa!..
๐ ngoja nijongee mlimani kumlilia Mungu nikishuka atakuwa na majibu tu.
MUHIMU SANA
๐Tuna bahati mbaya sana kama taifa tunapokuwa na waziri anapokosolewa basi anaamua kukodisha magenge ya majambazi na kuya deploy to a foreign country kuuwa na kudhuri watu wanaomkosoa!
๐Bahati mbaya sana anahusisha na mtoto wa kiongozi. Dubia haijawahi kuwa na siri na Mungu wetu ni mkali sana huwa anatusemesha!
๐Kambale alifanya wazi wazi sana haya lakini hawa wanafanya kimya kimya!.. ni hatari kuliko Hitler hawa halafu wanawaza kuja kuwa marais! Una uwaziri tu unapanga kuuwa watu je? Siku ukiwa Rais au waziri mkuu si utapasua watu na vifaru wewe๐ฅต
๐Hela mnazipa hao watu mngeenda kusaidia wananchi kule jimboni kwenu ambao wana haki mbaya hata panadol hawawezi kununua kwa ufukara!.. Killing people has never been a solution in dealing with critics! Kambale aliuwa watu lakini yuko wapi.
Nawaacheni na ujumbe huu!.. naingia kwenye maombi mazito sana๐๐
" My blood will nourish the tree that will bear the fruits of freedom. Tell my people i love them"- Solomon Kalushi Mahlangu (1956-1979)
Nikiwa madhabahuni nimejulishwa kuja kusikia huu wimbo! ๐๐Kigogo tena jameni?
ILA hakuna Mungu kama Mungu wa Yakobo na Isaka
https://t.co/BFDmsKc5l5
๐คฃ๐คฃ๐คฃ wadanganyeni wapumbavu!.. This will not happen under this minister hata akae miaka elfu kumi ..He is there for a different mission!..
@ngaso6_ngaso @Mapungo2020 hebu njooni mcheke huku
NAWASIHI NA KUWATAKA WATANZANIA WOTE KAMA NINACHOSIKIA NI KWELI NA KAMA MUNGU ANASEMESHA WATEULE WAKE YA ROHONI BASI TANZANIA INAHITAJI KUINGIZWA KWENYE MAOMBI KUANZIA DAKIKA HII
KWA KUWA MSHTUKOO UTAOTOKEA 2025 USIPOKUWA HANDLED KWA BUSARA HILI TAIFA HAITAVUKA HUO MSTARI .. NARUDIA HILI TAIFA HALITAVUKA HUO MSTARI KWA SALAMA . OMBEENI HII NCHI ... KUNA GIZA NENE SANA JUNE 2025
Mwanzo 41:32 ๐ asante Mungu wangu kwa kunitazamisha mambo makubwa hivi. Sifa na utukufu ni vya kwako,hakuna jina kubwa kupita jina lako.. AMEN
TANROADS huu ni ujambazi na wewe CEO nashangaa uko ofisini mpaka leo! Kwa hiyo mradi unefanywa kwa siku 21 na mmelioa 1.09bn TZS halafu kazi imefanywa 50% na malipo mmefanya kwa 167%๐คฃ
Mbarawa na CEO wa TANROADS kuna mambo mnatupotezea muda tu kuyajadili kwa kuwa yako straight forward sana.
Ondokeni kwenye ofisi za umma kapumzikeni na wake zenu huko lakini kazi achieni watu wengine wanaoweza kuja kufanya mambo ya uadilifu
Mnawezaje kufanya mambo kwa kiwango hiki? Nimemwikiliza CEO wa TANROADS juzi yaani alichokuwa anaongea ni ujinga mtupu na nilijiuliza hata huo u CEO alipewaje mtu ana average thinking kiasi kile?
Hivi vyombo vyetu huwa vinamsaidia Rais kwenye kumtafutia watu sahihi wa kuteuliwa kwenye hizi nafasi? Maana huyu wa TANROADS ni papai kabisa
Katibu Mkuu wa hii wizara umesikika ukilalamika mahali juu ya nani yuko nyuma ya hili jambo! Tunataka utuambie hizi dola milioni 2.3 mkandarasi kapewa ili ampe nani?
Isitoshe mbali na extra $ 2.3m bado mkasaini mkataba wa nyingeza bila kufuata taratibu only 7 months baada ya kupiga $ 2.3m
Tunajua mnamlinda aliye nyuma ya hili dubwasha lakibi watanzania wenye mapenzi mema wamesha leak habari kitambo sana.
Waziri haya yanatokea mbele ya uso wako na unaona kawaida tu uko busy na ma drama za kuzindua mabwawa ya maji blah blah
Kabla hamjatoka kwenye hizo ofisi tunataka mumtaje aliyeko nyuma ya mambo haya kwa kuwa hataacha kufanya hivi vitu na sisi hatutakubali kamwe hela ya watanzania ichezewe hivi
Tanesco wananunua mitambo na vifaa vya ma bilioni ya hela za walipa kodi bila kufuata taratibu na bila idhini ya na matakwa ya serikali kwa maana ya wizara etc
Tanesco wanafanya haya kwa maelekezo ya nani? Nani yuko nyuma ya hii michezo michafu kiasi hiki?
Toke Tanzania ipate uhuru hatujawahu kuona report ya CAG mbovu na chafu kama hii. Wizi wa fedha za umma ndani ya serikali umekuwa ni jambo la kawaida na unafanywa waziwazi bila kuogopa
Kokote duniani mambo yakifanywa kwa scale hii huwa kuna scenarios mbil itu muhimu
1. Wanaofanya haya wametumwa na wakubwa na kuwaahidi watawalinda no matter what
2. Hawajatumwa ila wanafanya kwa matakwa yao lakini wanawagawia wakubwa matunda ya haya mambo yao ya rushwa
Sasa kama scenarios ni hizi na unadhilifu ni wa kiwango hiki then swali ni nani yuko nyuma ya haya mambo? Kwa nini tumekuwa nchi inayochezea kodi za watanzania kiasi hiki?
Kwa nini kama taifa tumekubali kufika kiwango hiki cha uholela na ujambazi wa kutisha wa fedha za umma?
In addition Maharage na bosi wake wanayefanya haya mambo pamoja pale Nishati wanafanya nini mpaka leo ofisini? Tunaruhusu vipi waziri mwenye makando kando haya anaendelea kukaa ofisini na cheo cha ofisi ya umma?
Ni kwamba tumekuwa taifa la hovyo kiasi hiki? CCM haya mambo hamuyaoni? Au like tamko la Mwenezi wenu ndiyo mmemaliza yaani?
Kuna mahali naanzaga kukubaliana kuwa mmechoka sana kuongoza hii nchi kama maujinga haya yabafanywa na watoto wenu hakafu mnaona sawa tu