@Mikumifinest Hapo Jamaa asiseme chochote kuhusu hayo mahusiano yakr.. Isipokuwa amwambie tu Mkewake kuwa amepata 500,000 waangalie matatizo yaliyopo watatue.
@godbless_lema Hivi nyie mnajua uchungu wa tendo la ubakaji? Mnajua madhara anayopata mtu aliyebakwa kwenye jamii? Hivi mnajua vitendo hivi vya ubakaji viko vingi ila ni vichache tu ndio huripotiwa? Hebu tuwe serious kidogo jamani! Kama kweli wameonewa wanayo haki ya kukata rufaa.
Tunauza ving'amuzi vya aina zote! Pia tunauza vifaa mbalimbali vya ving'amuzi kama Kadi, decoder, Ku(LNB), n.k. Kwa Mawasiliano zaidi 0656 355 828
0713 658 828 @ Mtwara, Tanzania https://t.co/LnEkvHdy9p