I have an extensive and convincing twelve (12) years’ experience working in US Government agriculture funded projects in Tanzania. I worked at as an Agronomist.
@SuluhuSamia Mhe Rais naendelea kushauri kwa dhati Tundu Lissu aachiwe huru kwani kesi haikamiliki. Hekima na busara iliyokufanya kutangaza sera ya 4Rs mara ulipoingia madarakani ikuongoze tena katika jambo hili. Simulizi hizi za kutisha za vyombo vya habari vya kimataifa, zinaibua hisia kali hasa kwa vijana, hata wazee tumekumbushwa kadhia ya operation Sogeza iliyounda vijiji vya ujamaa 1974 -1976. Taarifa hizi zinaathiri kikubwa taswira ya taifa letu na maslahi yake. Athari ni kubwa. Tutafute muafaka kupitia uwajibikaji na maridhiano. Tuwe na hofu ya Mungu na kutambua miujiza yake mfano wa risasi 16 kushindwa kukomesha uhai ingawa maumivu ni makubwa. Tutubu na kusali kuliombea taifa letu kila mtu kwa imani yake.
Wahuni walikuwa wamejipanga kuimaliza kabisa CHADEMA na mipesa kibao waliaanza gawana
Kufanya Press unapigwa million 3
Hila hii nchi watu wana Njaa, kusaliti umma unafanya kwa millioni 3 ? wakati Samia na Mwanae wana magari ya mabilioni? Abdul ana gari billion 5 hataki hata haya ma V8 naona takataka
Halafu kutetea mtu kama huyu ni million 3? maana unaposhambulia upinzani au wanaharakati unachofanya ni kupalilia ufisadi wa Kikwete, Samia na CCM wanaotafuna hii nchi kama Mchwa, halafu unapewa million 3 ?!!! kama sio ujinga mkubwa ni nini? njaa tupu
CHAGUA CHADEM tuendelea mapambano ya mabadiliko nchini, tutapunguza hata hizi njaa zinazodhalilisha watu
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Naungana Mwanahabari Nguli Said Kubenea juu ya uadilifu wa @jjmnyika ni mtu muwazi,Kwakile alichokisema juu ya Heche, asingekisema kama kungekuwa na hata harufu yeyote ya mashaka.Puuzeni hizo projects za kuchafua watu.Chadema ipo kwenye mstari sahihi,inapaswa kuchora mstari zaid!
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe @HecheJohn leo hiii amewaomba Watanzania kwa wingi wetu na upendo wetu kwa Chama tuchangie Chama kiweze kuitisha Baraza Kuu la Chama litakalo kaa na kufanya maamuzi mhimu kwa Taifa letu na Mwenyekiti wetu Tundu Lissu.
0744446969 Voda Chadema HQ. https://t.co/FmfeXx08nY
Tundu A.M Lissu na John Heche walichaguliwa na Mkutano Mkuu wa CHADEMA. Hakuna kiumbe yeyote anayeweza kuwaondoa zaidi ya Mkutano Mkuu wa chama Taifa ambao uliwachagua. Hizo porojo nyingine ni mazombi ya mbogamboga yamelewa visungura tu na hayaelewi muundo wa katiba ya CHADEMA.
Nimefikiri na kutafakari kwa muda mrefu baada ya matukio ya ukiukwaji wa haki, utu na dhuluma dhidi ya uhai wa binadamu yaliyotokea tarehe 29 Oktoba 2025. Siwezi kuendelea kuishi katika huzuni na ukimya tena.
Kwa dhamira yangu binafsi, leo nimejiondoa rasmi kutoka CCM na kurejea CHADEMA kwa kufuata taratibu zote za CHADEMA.
Kwa Watanzania wote, na wanachama wa CHADEMA wale walioumizwa au kukatishwa tamaa na msimamo wangu wa awali, naomba radhi kwa dhati pale nilipokuwa kinyume na matarajio yetu ya pamoja katika safari ya kutafuta haki, utu na demokrasia ya kweli.
Naam, binadamu hukosea, lakini dhamira inapozinduka ni wajibu kusimama upande unaouona kuwa wa kweli na wa haki.
Asanteni Sana.
Mzee Warioba alipoongea juzi kuwa October 29 tume ndio ilipiga kura hakukosea na ushahidi huu hapa.
Nilishaposti hizi video instagram baada ya mauaji ya October 29.
Embu cheki, kipindi nchi nzima iko kwenye darkness Tume ya uchaguzi na CCM ndio walikuwa wanafanya kazi hii.
Uchaguzi wa Octover 29 2025 ni null and void. Hatuutambui.