@HildaNewton21@TunduALissu Tusingependa kuona viongozi wa siasa wanaanza tena kutikisa nchi wakati tulikuwa ktk utulivu wa kutosha. So kama anakuja well n good hapa ni nyumbani lakn sisi raia tunataka amani na utulivu.
@MwananchiNews Hakuna makosa yoyote kwa serikali kutumia maeneo yake ya wazi (open spaces) kwa matumizi ya huduma za kijamii. Kazi iendelee
VIDEO: Serikali yatolea ufafanuzi kuvunjwa Shishi Food
@John_Pambalu KUNA WATU WANA UWELEWA KIDUUUCHU, SA NDO WANASHINGILIA NN ??!!! HALAFU?????!!!!!!!!!!!!
Wananchi wa Jiji la Mwanza wakishangilia matangazo ya Mkutano wa hadhara
@KBCChannel1 WAWACHENI WAFU, WAWAZIKE WAFU WAO....
Mwanaharakati wahaki za mashoga na wasenge Edwin Chiloba, ambaye kifo chake kilisemekena kilitokana na ukosefu wa hewa safi alizikwa leo kijijini mwao
@AJEnglish We was expecting something like this after 1st January 2023's attacks on Russian troops from ukrain
The death toll from a Russian missile attack in the southeastern Ukrainian city of Dnipro has risen to 35.
@TBConlineTZ Msingetakiwa kupost picha ya hivi. Mmejisahau nyie ni chombo cha kuigwa kimaadili
FIFA YAMWEKA KIKAANGONI MARTINEZ
Soma zaidi hapa ππΌ
@EdgarCLungu What I liked from Lungu of Zambia πΏπ², is when he directly told the white people that, africans will never join the satanic hobbies for being Gays. Thanks Mr. Lungu
I call out to the LORD, and he answers me from his holy mountain. I lie down and sleep; I wake again,
@BBCWorld We do not want people like LGBTQs IN OUR SIDE OF AFRICA. LET THEM STAY IN UR CONTINENT although killings is hash n frightened!
Kenyan police make more arrests over killing of LGBTQ activist Edwin Chiloba
@ccm_tanzania Tuna kubali kuwa Muumba wetu Alipotuhurumia Akajaalia Mama kama zawadi kwa wabongo, na Akamjaalia awe ni Miongoni mwa Viongozi wenye kuleta faraja na matumaini na afueni kwa raiaa wake.
@aucho_khalid08 Allah 1st
I'm one of your Fans Aucho. Thank 4 being with us!
To my yanga fans you still gotta me until 2024π°π°π°πππAllah 1st.
@MariaSTsehai Maria ni mchochezi mwenye dhamira gani?. Ndug ze2 wa kimaasai walipewa maeneo makubwa na yenye malisho ya mifugo yao na nyumba bora zaid, na wafurahia maisha tatizo lenu mnapenda uchochezi
@millardayo TUNGEPENDA KUFAHAMU AINA YA HILO LORRY! MAANA KAMA NI FUSO KUFELI BREAK IKIWA NA MZIGO SIO AJABU!
Watu watano akiwemo Mtoto mchanga wamenusurika kifo baada ya lori kufeli mfumo wa breki na kuyagonga magari mawili katika barabara kuu ya Makambako-....