Kuna places ukiambia msee unaishi huko Nakuru, Mtu anajua tu the kind of person you are. Nani Ata alicome up na majina kama, Mazembe, Kivumbini, Manyani, PondaMali, na nyumba Nyeusi. From the names unajua tu what kind of person unadeal na yeye. Wasee wa Manyani madem na machajj hukaa tu nyani na hubehave like such. Wale huishi Kivumbini it's either wakuonyeshe kivumbi ama ikue mbaya. PondaMali nakwo lazima uponde Mali, huko ndo utapata walevi, na milayas men & women. Tusiongelee Ata nyumba Nyeusi ju sijawai Ona io nyumba Nyeusi uko lakini mi huskia huko ndo dark activities hufanyika.
1st time yangu kupelekwa mjengo hii taon nilitoka na morio wangu fundi akanishow kuna mahali yeye huenda huwezi kosa shugli, tulitembea from masimba adi tassia, kumbe ni kubahatisha tu.
Tulizunguka tassia mzima from 5.50 adi 7.50 ndio tukapata mahali wanataka kukoroga.
Alafu huyu fundi akaniambia nifanye tu yeye anatafta ya kujenga, nakuambia foreman kumbe ni mluhya amewachwa na bibi, si tulikapitia, vile niliskia koroga ni adi iishe mimi kufika nasaa ya lunch nikaitisha ile chakula kama ya mtu akona dooh fiti alafu nikahepa.
Since then ata uniitie mjengo ya kujenga mwili siwezi kuja. Chesaa!
Hii app mnaongea na mtu unadhani unamjua lakini wapi, π
Wewe ukitoka faceless at this point you are fvcked...
This platform is run by introverts and weird people, another day to remind you to stay guided.