Wakubwa
Hii #BeachPlot bado ipo sokoni.
Inapatikana maeneo ya Sange, Pangani.
Ina ukubwa wa ekari 6.
Ina hati ya Wizara.
Ipo km 1 kutoka Barabara ya Sange-Pangani.
Eneo lina umeme na Beach Ina minazi ya kutosha,nzuri kwa uwekezaji wa HOTELI au Apartments
0672 808100
Kiwanja Plot No.36 (Dot ya Kijani 🟢)
📍 Nala Mizani, Dodoma, 400m tu kutoka Hospitali ya Jiji
1KM kutoka Lami Dodoma–Singida
OF A: 8M kutoka 13M
📄HATI BURE
📞 0624890515
@Magero255
Please rt 🙏🏼
Kuanzia kiwanja namba 109-120 vipo Sokoni.
Vipo Ntyuka, Viko umbali wa km 9 kutoka Dodoma Mjini.
Price: 5.5m kiwanja kimoja.
Njoo Tuongee biashara.
Hata hivi viwashinde kweli?
Please share kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki 🙏🏼
DPP alimfungulia kesi ya UCHOCHEZI Askofu @MachumuKadutu kwa kusema kwamba, "Mungu ameongea nami kuwa Samia hakubaliki kabisa na wananchi". Lissu akamtaka DPP amlete Mungu mahakamani ili ATHIBITISHE kuwa hakuongea na Askofu. DPP akaona isiwe shida, ikabidi AFUTE hilo kosa. 😂