@Kiganyi_ Kamanda na kikosi chake wapewe Maua yao aisee, mikoa ya mipakani ina challenge sana ya ulinzi, hususa ni mikoa ambayo inapakana na nchi zenye Historia ya vita za muda mrefu.
@Am_Blujay Itβs a shame how a man uniform is insulting his fellow comrade in front of the camera, imagine how much happens in the dark!!!. A few of our own given power to work against us. The 5% foreign folks will keep owning 95% of our countries wealth if we do not become one.
@msangijeff 3D illustration model ya kinyama sana. Inaonyesha uhalisia wa madhara ya kimbunga kwa watakaodharau evacuation. Ikiletwa Bongo huwenda mambo yatakua tofauti.