Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye maandamano pamoja na viongozi wengine wakati wakielekea kwenye eneo la Maekani, Kampasi Kuu Morogoro kwa ajili ya sherehe za Mahafali ya 23 ya Chuo Kikuu Mzumbe Mkoani Morogoro tarehe 24 Novemba
NISHATI SAFI INAMUONDOLEA ADHA MTOTO WA KIKE - KIJAJI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amesema uwepo wa Nishati Safi ya Kupikia kunamuokoa mtoto kike na athari (adha) zitokanazo na matumizi ya nishati isiyo safi kama kuni.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Makamu wa Rais, Mhe. Dkt. Philipo Mpango, Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa, Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman Abdulla pamoja na Dk Biteko kwenye 60 JWTZ