Ameenda kwa kutumia mtumbwi, hajabeba mtu na roli, na uwanja hakuna pakukanyaga. Ndiyo maana @ccm_tanzania Wanaweweseka kuona Watanzania wote wapo @ChademaTZ2@HecheJohn endelea kupeleka moto, Tutashinda.
Kuwa na nchi ya demokrasia, imekuwa ni ideal kwa nchi yangu, msimamo huo umenigharimu sana, umeniletea madhira mengi sana, msimamo huo kwa siku zilizobaki kwa maisha yangu ni msimamo ambao nitaendelea kuusimamia, na kama ikibidi kufa ni msimamo ambao nipo tayari kufa.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, amesema Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Ramadhani Kingai, ana hasira na amemweleza kuwa hajawahi kuwa rafiki yake.
Imagine being us..!!
Hapo hakuna kusombelea watu kwenye maroli kama ng'ombe za mnadani.
Hawa ni wapenda HAKI walioamua kushiriki mkutano wa wapigania HAKI (IBADA).
Na baada ya IBADA takatifu ya HAKI, wameshiriki kutoa SADAKA (TONE TONE).
IGA UFE.
REPOST 200.
Sauti ya wananchi haiwezi kuzimwa. Tunajenga siasa za uwajibikaji, uwazi na matumaini kwa kila mwananchi wa Kigamboni na Tanzania,Safari ya mabadiliko inaendelea.
Siku ya Leo Jumamosi 23/05/2026, Kamati tendaji ya CAHDEMA Wilaya ya Kigamboni itakutana. Pamoja na ajenda nyingine itaziba nafasi iliyoachwa wazi na @YerickoNyerereT
Kwa @ExMayorUbungo
"Asante kwa kutusogeza karibu na meza za maamuzi ambapo sauti na maoni yetu hatimaye yanasikika na kuthaminiwa. Katika mazingira ya siasa ambapo mara nyingi vijana hupuuzwa, umebadilisha simulizi.
Ulianza safari hii kwa kuwasha torch na sisi ndio mwale wake."
Kwasababu ya Mauaji yaliyotokea october 29/2025 bila Watanzania kupewa nafasi ya kuombeleza, Ninakiomba chama changu @ChademaTZ2 kwenye kila mkutano kitoe angalau Dakika 15 za Watanzania kulia kabla ya kuanza kwa hotuba za operation hii ya chama.
“Kumekuwa na majaribio na vitisho kutoka kwa watawala kunizuia nisiongee. Kuna wakati niliambiwa nizime simu yangu, nisiitumie mpaka (wao) watakapo niambia. Nikawauliza, kwa sheria gani? Kuna wakati nilikaribishwa mahali fulani, nikapigiwa simu na watawala, wakasemam mzee usiendee kwenye huo mkutano. Kwanini? Hauna manufaa. Nikawauliza, nani anaamua hayo manufaa? Nikakataa. Wakawafuata watu walio karibu na mimi ili wanishawishi nisiende, nikakataa pia. Mnakumbuka nilifanya mahojiano hapa na Jamhuri? Wakatoa summary, wakasema watachapisha mahojiano yote, neno kwa neno. Baadae Jamhuri wakanieleza wamezuiwa wasitoe yale mahojiano. Kuna viongozi wanaogopa kuzungumza na mimi, wanatuma ujumbe kupitia mbali huko. Marafiki zangu wanaogopa wakisema nitatekwa au kupewa sumu. Nawaeleza mimi ni mali ya Mungu, ndiye atakayeamua lini ananihitaji.”
— Jaji Mstaafu Joseph Sinde Warioba, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais Tanzania.
JOHN WAGESA HECHE Tarime Finest
Mwamba Anaongea Anamaliza Kuongea Unatamani Aendelee Kuongea HECHE Ni Gift From God Kanyooka Kama Mkia Wa Ngiri 🔥🙌
Mpeni RT 200🤝
Hawa MASHEIKH ukiwaona wanaswalisha Msikiti wowote ule naomba TOA SADAKA YA KUJIMALIZA.
Hawa wanaongozwa na msingi ya DINI na sio NJAA kama wale VIBAKA waliopita. Asanteni sana Masheikh wetu wapenda HAKI mmeiheshimisha DINI YETU YA KIISLAMU. 🙏
REPOST 500
TUTAKUWEPO🫵😎