There’s so much going on around us that it’s easy to feel exhausted, stressed and overwhelmed. Almighty. Grant us peace in this world and in our hearts. Grant us clear guidance and calm our hearts. Guide us to the straight path and don’t leave us wandering through life.
@godbless_lema Hakika ikiwa tungekuwa tunapeleka maoni au hoja zetu katika lugha kama hizi, ni "wajinga" wachache tu kutoka mlengwa wa kushoto wanaoweza kukuchukia.
Hiki ni kiwango cha ukomavu katika kufikisha hoja kwa mkuu wa nchi bila kujali unamkubari ama la.
📌"Niliamua kunyamaza kimya na nitaendelea kunyamaza kimya, ninachowahakikishia hakuna mwenye misuli na ubavu wa kuligawa taifa hili, hakuna mwenye misuli na ubavu wa kuuza taifa hili na hakuna mwenye misuli na ubavu wa kuharibu amani yetu"@SuluhuSamia
Nasemaje mashabiki wenzangu wa Man United sisi ndio wabishi wa Dunia hii
" TUNABISHANA MPAKA PUMZI YETU YA MWISHO "
Usikae kinyonge mshabiki wa Man United , usiogope , bado tumo NIMESEMA MIMI . Matani yoteeeeeee ya wapinzani niachieni mimi , nawamudu , nawatetea mimi 😀😀😀😀
Nimechapa block MATAGA aka chawa za Mama wa kutosha, sasa nina nafasi ku follow watu wa maana wanaoamini katika Haki,
utu na #KatibaMpya
Tuinuane 2023 wapendwa 👊🏽
Weka handle let’s FOLLOW and follow back
*Masharti yatazingatiwa*
❗️T&C applies ❗️😃
@Jumaallymwiguru@MCoudoger Sio wameshindwa, hawawezi kutoa pesa kizembe kwa mchezaji anaekuja kwa mkopo tu 😂280k per week afu baada ya miezi 6 arudi kwao?Only Chelsea can do that now
Ronaldo anafaida zote kibiashara na pitch by then. Ila kwa huyu inawezekana kibiashara ikawa risk ni kubwa ila katika pitch to me still lilikuwa ni chaguo sahihi kwa man u.