Wale Wenzangu Tuliokua Tunafagia Mabanda Ya Video Ili Tuingie Kuangalia Movie Tujuane..! Tena Tunakaa Mbele๐
Hapo Una Jero Full Kula Karanga na Viazi Vya Kukaanga Na Kachumbali Basi Unaonekana Wakishua๐๐
7. 7.MAPENZI
8.IBADA.
9.SAFARI.
10.SIKUKUU
Hizi NGOMA Kali zilizosumbua wiki hii kutoka hapa Pasua kichwa FM,unaweza ipigia kura nyimbo unayoitaka ili ishike nafasi ya juu na wiki ijayo tutakuwana ingizo jipya .
Kila Ikifika Alhamisi Nyimbo Yangu Pendwa Ya Miaka Iyooo Itabaki Kuwa #Ni_Jukumu_Letu Iliyopigwa Na Magwiji Wawili Joseph Haule @ProfessorJayTz featuring Hamis Mwinjuma (BINAMU) @MwanaFA ...! Big Up Mlipiga Kazi Nzuri SANA๐๐๐