HERI YA MIAKA 63 YA UHURU
Naomba tupate stori fupi kuhusu uhuru wetu!!
Uhuru wa Tanzania ulipatikana kupiti harakati za kisiasa na kijamii zilizokuwa na lengo la kumaliza ukoloni wa Uingereza katika eneo lililojulikana kama Tanganyika.
Tushuke na uzi huu mfupi wa uhuru wetu!
Kitu kimoja kuhusu dunia huwa inaleta historia kwa mwanadamu, unaweza kuwa mungu mtu, ukaogopwa na kila kiumbe, ukamiliki kila unachotaka, ukawa na mamlaka ya nani anapaswa kuishi, nani anapaswa kufa, tuna mifamo na inaishi. Halafu kuna Mungu juu n chini udongo. Dunia tunapita.🎼