Ujue una nusu ya moyo wangu na nusu iliyo baki kwangu yote nakupenda wewee
Unajua langu una mwezi wangu unatembea na roho yangu wewee 🎧
Kiboko Yangu 🎵💛🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥#FOREVERHIT
Wasanii wenu wanakuja na bonge la kampeni la Afcon. Na wimbo wamefanya kwa kutumia pesa za walipa kodi.
Wasanii wenu na influencers ndio wanaenda kutumia kuitoa nchi nzima kwenye reli kwa kuitumia Afcon ili huku nyuma wauwaji waendelee kujimilikisha nchi….
Tusikubali kufanywa wajinga na wasanii kwenye hii AFCON.
DEO NDEJEBI ndio Plan B ya Samia Suluhu na Jakaya Kikwete……
Tusiite Afcon, tuiite AFCON YA WAUWAJI na wa Africa wenzetu wanaopanga kuja Tz tuwaambie wanakuja kusapoti mauaji ya Waafrica wenzao kupitia sports washing