@munyamambogo Madereva wa daladala za ukanda huo wa kbagala, Gongo la mboto, sijui Chanika, Buza wana driving behaviour za kishamba sana, ambazo zinachangiwa na abiria wao. Unakuta dereva anazingua lkn abiria wapo comfortable wametulia tu, so hayo ndo matokeo yake.
@ZPlanmaster Ni swali muhimu na gumu pia lkn wengi tunamkumbuka jamaa alipopataga ugonjwa ambao ameugua kwa mda mrefu sana, mpaka sasa wengi tuliishia pale hatuji nini kiliendelea kama alipona au bado anaumwa au Mungu alimpumzisha kwakweli hatujui
@Jaguar_455 Hamna kitu kama hicho, hizo ni justification za kuhalarisha kumchafua, aliokuwa anakula nao meza moja ndo hao wanaomchafua wakati huu, majasusi yapo hapo juu maafrika yenzetu, yanatumika vyema kabisaa kutunyonya.