lakini wakati wake Umepita wala haurudi tena. Sasa kama Mtu hakuelimishwa, mvi zake hazihesabiwa kuwa dalili ya hekima. Jambo lisilobadilika ni kuwa kila mzee anastahili heshima ya kila kijana Siku zote. " 2/2
Naomba Nikalili Maneno ya Shaaban Bin Robert Kwenye Kitabu chake Cha Kusadikika; Na Nukuu "Elimu ilipokuwa haijulikani duniani, mvi ziliesabiwa kuwa alama ya hekima. Fikira hii ilikuwa njema sana, 1/2
VIDEO:
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) na taasisi mbalimbali za Kiislamu nchini wamesisitiza kuwa haki ni mchakato unaohitaji mazingira ya amani, hivyo vitendo vya uhalifu na vurugu vilivyoshuhudiwa wakati na baada ya uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 vimeua kabisa misingi ya haki na utu nchini.
Tamko hilo lililosomwa na Sheikh Issa Othman Issa, Mjumbe wa Baraza la Ulamaa na Imam Mkuu wa Msikiti wa Maamur kwa niaba ya Mufti Mkuu wa Tanzania, limesema kuwa vurugu hizo zimesababisha vifo vya watu wasio na hatia, ulemavu na uharibifu mkubwa wa mali- ukweli unaowaumiza na kuwaathiri Watanzania wote.
Kwa mujibu wa tamko hilo, viongozi wa Kiislamu wamesema walifanya kazi kubwa kabla ya uchaguzi kuhimiza utunzaji wa amani, kwa sababu walielewa kwamba kudai haki ni halali, lakini ni lazima kudaiwa kwa misingi isiyohatarisha utulivu wa taifa.
Viongozi hao wamesema kuwa machafuko yaliyotokea hayapaswi kurudiwa kamwe, na ni jukumu la serikali kufanya uchunguzi wa kina kubaini watu waliowachochea vijana kujiingiza katika uhalifu huo uliosababisha maafa.
❗️Kikosi cha wanamaji cha Urusi chawasili New York
Siku kama ya leo mwaka wa 1863, Stepan Lesovsky aliwasili New York ili kuwazuia Waingereza na Wafaransa, na kusaidia vikosi vya Lincoln katika Vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Marekani, lilipa mwaka wa 1866. 🇷🇺🤝🇺🇸
Hakika leo @SimbaSCTanzania Imecheza Chini ya Kiwango Imenekana Dhairi Shairi Ndg yetu Kiwango chake Ni Kidogo. Timu imefuzu kwa Bahati na Sibu kwenye @CAFCLCC Kidogo tuhaibishwe jamani Viongozi Tafuteni Kocha Mwenye Kiwango Kinachoendana Na Timu