@MarcEden4 Hata ukijiajiri Wafanyakazi wako waweza kukuona unadharau wanapotaka kupalilia uvivu na maslahi mengi wakati hata wewe unakuwa hujasimama vyema
@GillsaInt@rollymsouth Kijana kichwa yake imejaa stress ya timu za mpira na migogoro ya mahusiano yake na demu zake Hana connection wala kazi yoyote ila hawazapo future yake HAPATI HOFU Hata ya kuigiza tu
@mshambuliaji Aisee kauli ya MAUKI Sijaamini imetuumiza kiasi hiki cha watu kumfanya gumzo Ya taifa.. @mshambuliaji Ndio Hata darasani tulifeli kwa OPP kama hizi