@StarSeedQz@millardayo Kwa nini unamtukana @millardayo wakati ni maamuzi ya mahakama na vyombo vingine vya sheria?
Acheni tabia za kishamba, matusi ni dalili ya kuishiwa sera na mbinu za kuwa na maisha mzr kihalali na siyo kinyume chake!
@Cargo_1911 Ni kweli kuna jamaa yangu(marehemu) naye alikuwa hawaamini, ila siku alipokwenda kufunga ndoa ya kimila akamkuta yuko safi; kwa kutoamini presha ikampanda akatangulia maskini - RIP bro! π€
@MfanyakaziNews CHADEMA kimekuwa chama cha wapuuzi watupu, yaani mmemtukana matusi yote, mmemdhalilisha yy na familia yake; leo mnataka ahudhurie kesi ya kujitakia wenyewe?
Kwa stahili yenu ya mapambano mlipaswa kuwa chama cha wapigania uhuru na sio cha siasa ktk nchi huru!
@nulphin Amerudi kwenye chama chake cha awali ili kujenga hoja za kuwatetea wapiga kura wake, ni uwamuzi wa busara badala ya kulalamika mitandao kila sikuπ€
@NavayaoleNdasko@Sativa255 Usituletee inzi maskani, kwa nini usiombe uraia Ke isitoshe watu kabila lako wajaa kbao Ke; nenda kafe njaa kwenye maandamano ya kila sikuπ
@mwangij_mwagij@iammpemba@Ambele_Young@kaji_sijo@KingPablotz@Mrsiyengo@udsm_finest Nimeshajibu wapuuzi wenzako kuwa mna hulka za kitumwa nyie na wale wa SA; kwani mmekosa matumaini kwenye yenu ambayo uchumi umeshikiriwa na wageni, koo chache na wanasiasa hivyo hamjali hata mkiharibu uchumi mkubwa nchi yenu.
Ndio maana mnanunulika kirahisi - acheni hizo tabia