Nimebahatika kushiriki katika Kilele cha kuadhimisha wiki ya mtumiaji, kilichofanyika leo 15/03/2022 katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil.
Kilele hiki kilibeba kauli mbiu ya “USAWA KATIKA HUDUMA ZA FEDHA KIDIGITALI” na Mgeni rasmi akiwa ni Mheshimiwa Makamo wa Pili wa Rais
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Vyuo Vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu Zanzibar (ZAHILFE) Ndg. Mahmoud Maktuba Haji Leo tarehe 08 March, 2022 ameshiriki na kufanya uwasilishaji wa mada kwenye Mkutano wa Kuadhimisha siku ya wanawake duniani
#sautiyawasomiinasikika#zahilfe.official
Tunatumia miaka kujifunza tabia ambazo tunazionesha leo!!! Usijaribu kubadili tabia kwa kutumia nguvu mana si rahisi sana kubadili tabia zilizojengwa kwa Miaka 22 ndani ya siku 2. Familia ni muunganiko wa tabia tofauti zikaweza kuunganika pamoja, i love ❤️ this Family.
Assimilation of Extraordinary Summit of East African Community on Gender Equality and Equity, that was done on 29th December, 2021 by Ordinary Diploma in International Relations and Diplomacy students Last Semester.
#weworkbettertogether
Mafunzo ya namna ya kufanya biashara mtandaoni na namna ya kuchagua biashara ya kufanya kimtandao.
Si ya kukosa.
#sautiyawasomiinasikika#zahilfe.official
Shirikisho la Vyuo Vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu Zanzibar (ZAHILFE).
Inaendelea kuwakaribisha wanafunzi, wazazi na walezi wa wanafunzi, walimu, na wadau wa Elimu Zanzibar, katika maonesho ya pili ya wiki ya elimu ya juu Zanzibar. 01/07/2021 mpaka 04/07/2021 Mapinduzi square.
The training aimed at producing peace ambasodors and trainers showing that peace remains a goal for introspective Individuals around the world. The lifelong search for inner peace challenges us to learn more about ourselves while allowing us to evolve with the seasons