@nikkwapili Ktk bara la Africa kuna viongozi wengi sana mashughuli eg mwl nyerere Tanzania(Tanganyika),Kwame Nkurumah Gold Coast(Ghana) na wengine wengi ila kwann Historia inambeba au inampendelea san Nelson mandela wa south Africa..!!!
Bora Uumwe Magonjwa Yote, Lakini Usiombee Uumwe #KISUKARI
Ukiumwa #Kisukari Bwana Uwezo Wako Unakuwa Ni Goal Moja Tu Chali!!
Aaaaf Unajiona Kiduuuume!!
Piga Mtu Goli Tatu........KUDADEKI!!
Yaaani Nina Hasira Na Nyie Tarehe 18 Haifiki Tu!!