Ukipata Muda Leo Hii,
Tafuta Sehemu Iliyotulia,
Kama Uko kwenye Makelele,
(US ISIKILIZE)
Labda Uwe na Earphones zenye.
"Noise Cancellation"
Alafu..
Play hii Video,
Narudia...
"Sikiliza Hii Ukiwa Mwenyewe"
Video Ina Dakika 1 na Sekunde 30 Tu!
👇🏾
AIBU
CCM mtaa wa maweni, kata ya Mjimwema Jimbo la Kigamboni wameandikisha watoto wa kidato cha kwanza bila concern yao. Jana majina yamebandikwa watoto wanashangaa kuwepo kwa majina yao na wote wameandikishwa umwri wa 30+ kila mmoja.
Rubbish 🚮
@ExMayorUbungo@ExMayorUbungo morali ya kujiandikisha morali ya kupiga kura imeshuka mbaya zaidi inaendelea kushuka ukikumbuka hata unaemchagua huenda hatokuongoza.
Macc majinga sana,
Ona huyu Mwalim kasomba wanafunzi ambao hawajafika 18yrs ili wajiandikishe,
Wamefika kituoni Wakala wa Chadema kawatimua maana ukiachana tu na kwamba hawajafika 18 pia sio wakazi wa eneo hili,
Hawa watoto walipaswa kuwa darasan, maccm acheni watoto wasome.🚮