Mwambie tu peter msingwa ukweli anatafuta sababu ya kwenda kuunga juhudi dhihi ya Rais Samia hassani suluhu ila njia anayopita ndefu sana.Kwa sasa Chadema imefuta kanuni za mwanachama kufukuzwa mwimbe ajivue wanachama tu ili kupata fursa nzuri ya kuitukana Chadema.