Until you are willing to get under what God puts over you, you will never be over what God wants to place under you.God’s might is obtained through our humility
@SuluhuSamia Congratulations to Her Excellency Madam President Nandi, Namibians and Africans need your authenticity, firmness, reliability towards African developments and democracy.
@SuluhuSamia Honera Mheshimiwa Rais na Mbeba maoni ya Watanzania walio wengi. Mungu akuzidishie Hekima na Busara katika kuliongoza Taifa letu la Tanzania. Ombi langu kwako naomba uninunulia komputa ili niweze kuendelea kuchangia maendeleo ya Taifa kwa kutafuta fedha kupitia maandiko ya miradi
@SuluhuSamia Hongera sana mama kwa kazi kubwa ya kujenga Tanzania. Nimekuwa nikipambana kwa miaka 12 toka nimalize chuo kupitia project write up. Lakini komputa yangu imeharibika, ninaomba mama uninunulia komputa ili iendelee kupambana na maisha na nisaidie kuijenga Tanzania.