DONDOO ZA UFUGAJI ππππβπ¦Ίπ
Kuwezesha wafugaji kufuga kwa Tija/ushauri wa kitaalamu/Matibatu
πΌ Paraprofessional
πBorn November 11
@tazamaMbali Hapo kiongozi umeeleweka kwa sababu umetolea uzoefu mazingira uliyopo na inawezekana ndipo unafanyia ufugaji
Tofauti na Andiko la mwanzo lilikuwa limekaa too general ndomana nikauliza, kwa sababu sio kila sehemu unaweza kupata faida ya 1.4 kwa Nguruwe 5
Kazi nzuri unafanya
@NyakundiDerrick@VideosVuvu depends on types used, there is two type of pistol
1. Penetrating captive bolt-penetrate into o the skull and make permanent damage
2.Non penetrating captive bolt- does not penetrate into the skull hence animal can wake up
Use captive pistol when sure of slaughtering the animal
@officialben94@munyamambogo Mimi pia nimeshangaa baada ya kuona mwalimu Mkuu anamfukuza kazi mwalimu wake, nikahisi labda ni shule ya private na sio Government.....!
@HonJSfaustin@spana_Konki If una amini katika dini ya kiafrika kuna baadhi ya vitu inabidi ufuate
1. Kuamini katika kuabudu mizimu
2.kutokuamini katika kuzimu/peponi
3.hukumu ya Duniani/Jamii kulingana matendo yako na sio hukumu ya Kimungu (Karma)
4.ujue ni Dini ipi ya Afrika unayoiamini, zipo nyingi nk
@Makinda92@spana_Konki Kifo ni kifo haijarishi kuna nini utakikuta baada ya kifo, ingemake sense tungekuwa tunatokea sehemu ambayo tunaijua kabla ya kuzaliwa
Then kwa sababu tunajua tukifa tunarudi wapi hapo sasa kifo kingekuwa na tofauti, hatujaomba kuzaliwa hivo Huwezi kutupangia namna ya kuishi
@HonJSfaustin@spana_Konki Basi kwa Muktadha huo ulikosea uliposema "Ila kwa imani yangu, ukimkera Mungu tu unakufa"
Kwa sababu ata usimpomkera still utakufa, watu wataendelea kufa tu haijarishi amekufa kifo cha aje
Sio mbaya, ila bado Kuna Area unatakiwa kuzifanyia kazi ili unachoamini kiwe relevant
@Makinda92@spana_Konki Asante kwa ujumbe mzuri ila naomba kuuliza, kama Mshahara wa dhambi ni mauti, je kuna nani ambae aliwahi kuishi bila dhambi na hakufa?
Kwa uelewa wangu mdogo Mauti yanafata kiumbe chochote hai haijarishi kina Dhambi au hakina
@HonJSfaustin@spana_Konki naomba nijifunze kidogo
1.Vipi Mkuu kwenye Imani yako usipomkera Mungu haufi?
2.Vipi kuhusu watoto Wachanga wanaozaliwa na ndani siku kadhaa wanafariki wanakuwa wamemkera Mungu wakiwa tumboni?
https://t.co/Mn83MYrwjt itakuchukua muda Gani kufa baada ya kumkera Mungu wako?
@Dullykiba@spana_Konki@masoudkipanya Mkuu acha kukalili na utumie Akili zako at least once, Vitabu vya dini vinasema Malaika hawana Free Will, they just obey Only God
Na wakati huo huo Vitabu vinasema Shetani alikuwa ni Malaika kabla Hajaasi, umewahi kujiuliza ilikuaje Malaika ahasi ilhali yeye hana Free Will?