Lubero/kirima
Watu wasiojulikana washambulia askari polisi wa barabarani wapatikanao kwenye kijiji kirima kwenye umbali wa kilometa karibu ishirini na nane barabara butembo_Manguredjipa katika wilaya ya lubero kivu kaskazini.
Laurence Kanyuka msemaji wa AFC -M23 ashutumu vikali HRW kuegemea upande mmoja . kanyuka amesmea hawatakubali wakaazi wa Minembwe kuendelea kushambuliwa kwa Ndege na Drones .
Mkuu wa mkoa wa Kivu Kaskazini upande wa AFC -M23 BAHATI MUSANGA ERASTO AOMBA viongozi kama vile wakaazi kupiganisha ukabila ndani ya watu .Musanga amesma hayo mbele ya viongozi waa Kata mbali mbali za Mji wa Goma Kivu Kaskazini .Musanga ameongeza kwa sasa wanacho hitaji ni amani
Mkuu wa Mkoa wa Kivu Kaskazini upande wa AFC -M23 apiga marufuku mikutano yeyote ya inayo sura ya ukabila na kutapanya maneno ya ubaguzi wa Makabila haitakubalika kuanzia sasa .
Tangazo hapa lasomwa nae Mumbere Lumumba msemaji wa mkuu wa Mkoa.
AFC- M23 yaendelea kuwapa mafunzo ideolojia na ungozi bora viongozi wa tabaka za chini kutoka vijiji,Vitongoji na miji kwa ajili ya kuimarisha Uongozi Bora .
Mafunzo inayo lenga viongozi wa chini ambao ndio huiishi na wakaazi wasema viongozi wa AFC - M23