Kama Mtaalamu wa Matangazo ya Facebook na Instagram nakupa hii
Ishikilie sana 2025
...Kama kweli Unataka kufanya Matangazo FB & IG
Sekunde 60 Tu...
Kujenga au kubomoa Biashara yako Mtandaoni.
Repost & Like
Twende kazi sasa...
Ukiwa kama Mfanya Biashara wa Mtandaoni Chukua Hili Kutoka Kwa MISSO MISONDO..
Kama Ulikuwa Hujui
Hii ndio Mbinu Pekee anayoitumia Misso Misondo..
Kupush Biashara yake ya Muziki Tu
Like & Repost👇
Kwa Nini Haupati Mauzo Kutoka Kwenye Facebook na Instagram Ads Zako
Unajiuliza kwanini matangazo yako ya
Instagram na Facebook hayaleti mauzo?🤔
Sio wewe pekee!
Karibu tujifunze kwa undani,
sababu kuu ambazo zinakuzuia kupata matokeo.
Repost & Like👇🏽
Najua Hii Updates Huijui!..
Sahivi Unaweza Kuacess Kila kitu ambacho mtu anayetumia Computer anafanya..
Yaani kwa mfano Ukitaka kutumia Ads Manager na Unatumia Simu tu
Umachotakiwa ni Kuswitch Hio Chrome into Desktop Version Fanya Hivi👇
Like & Repost
Cover: Nimetumia Canva (FREE)
Mockup ya Kitabu: Nimetumia Smartmockup (FREE)
Device: Nimetumia Simu
Muda: Nimetumia Dakika 5 tu (Design + Mockup)
Hii ni zawadi yangu kwa @Mrconsulnet_
Nondo Zote Zipo kwenye Ebook yangu ya Jifunze Canva Ipo hapa:👇 https://t.co/zmzpRFYR7O
Usipuuze Meta Ads! (FB na IG) Hivi Ndivyo Zinaweza Kukuza Biashara Yako
Usidharau nguvu ya Meta Ads!
Kama unataka kuuza zaidi na kuongeza wateja,
Hapa kuna jinsi unavyoweza kuyaleta matokeo kwa biashara yako.
Like & Repost
Kuna imani potofu kubwa sana kuhusu Instagram & Facebook Ads ambayo inakufanya upoteze pesa nyingi bila wewe kujua!
Hapa nitakufichulia ukweli…
Ili uchague njia yako unayotaka kupita..
Ukiwa na akili timamu kabisa..
Like & Repost
MAKOSA 5 wanayofanya Wauza bidhaa za afya kwenye Facebook na Instagram.
Kama kuna mtu huwa anaacha pesa nyingi mtandaoni
Basi ni wewe unayeuza bidhaa za afya,
Acha kufanya haya makosa chini..
Unapishana na gari la mshahara..
Like & Repost
GIVE AWAY ya Weekend Leo,
Nataka Nitoe Ebook yenye Ideas 55+ za Ads Creatives hasa Picha.
Ambazo unaweza kucopy na kupaste kwenye Matangazo yako hata contents za kawaida..
Kwa wauzaji wa Mafuta,Vipodozi + Supplements.
Hii Ni 100% FREE Kwa Huyu Mtu Pekee👇
Unataka kufikia wateja 10,000 zaidi kwa kutumia Matangazo ya Facebook na Instagram?
Kama unapambana kupata wateja wapya na
kuongezea mauzo yako,
basi hii roadmap ni kwa ajili yako.
Like & Repost
Graphics design ni ujuzi mama kati ya zike skills za muhimu sana kwa mtu anaetaka kufanya Biashara Mtandaoni..
Ndio maana Kama unaendesha Biashara yako Mtandaoni na Huna huu ujuzi lazima Ukumbane na vitu 2..
1.Kulipia pesa nyingi kupata graphics nzuri...
Lakini Pia👇
Nimewahi kufanya Updates nyingi kwenye kozi ya
"Facebook & Instagram Business Mastery course"
Ila Hii ni BEST OF ALL...
Kwa maana Hio kuanzia Tarehe 5 October
Hii course utaipata kwa 80,000/= siyo tena 60,000/=...
LAKINI Kabla Hatujafika Huko..
Leo Nataka Niitoe kwa Watu👇
……Inawezekana Vipi,
Ukutane na mtu kwa mara ya kwanza mtandaoni,
na akaweza kukulipa Milioni 1
Kununua dawa yako
Hata bila kukuuliza swali lolote?...
Humfahamu…
Wala Hakufahamu…
Hajakufollow..
Wala Hujamfollow..
Hajaambiwa na mteja wako..
Wala nini…
Na kibaya zaidi 👇
Sema ni Ubishi Tu wa Watu au Kutokuwa na maarifa sahihi...
Haimaanishi kama Unatumia Iphone...
Basi Ile 30% ya Apple lazima ulipie ili utangaze..
No...
Ile wanakata kwa wanoboost kwa kutumia device za Apple..
But still unaeza tumia Iphone kurun Matangazo bila changamoto..👇