professional economist
CRYPTO WORLD.
MA COMPUTER SCIENCE.
PHD CYBER SECURITY.
MBA in DATA ANALYTICS AND ARTIFICIAL INTELLIGENCE.
MBA IN APPLIED ECONOMICS.
Betting inazidi kunifilisi!!π₯Ή
Nime-Give up world cup.
πππππππ
Bora nibakishe mtaji ningojee EPL.
Nahamia FOREX kwa sasa,
nimeona inalipa saanaa!!
Watu wanapiga sana hela kule.
Kwa sasa natafuta mentor mzuri wa FOREX nianze darasa.
Naomba please mentor yoyote mzuri wa fx kama unamjua nicheki DM.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Charles Kichere amesema mwaka 2024/25 Bohari ya Dawa (MSD) ilipokea dawa na vifaa tiba vyenye thamani ya TZS bilioni 20.28 vilivyokuwa na muda mfupi wa matumizi, kinyume na miongozo inayotaka kuwe na angalau asilimia 80 ya muda wa matumizi.
CAG amesema hali hiyo imetokana na uhaba wa dawa na udhaifu katika mifumo ya ufuatiliaji wa bidhaa zinazopokelewa.