Official X of the Deputy Government Spokesperson- Government of Kenya.
#Media , Communications Strategist
#United Democratic Alliance (U.D.A)
#WomenRep2027-002
Maandalizi Dhidi ya Ebola Nchini
-------------
Ndugu Wakenya,
Afya, usalama, na ustawi wetu ndio ajenda yetu kuu na ya kwanza katika Serikali yetu.
Kutokana na tishio la sasa la mkurupuko wa maradhi ya Ebola duniani, Serikali inalichukulia suala hili kama dharura ya kimatibabu inayohitaji maandalizi ya mapema, thabiti, na ya hali ya juu ili kulinda maisha ya kila Mkenya, ikiwemo maandalizi ya Mapema na Madhubuti.
Maradhi ya Ebola ni changamoto ya kiafya inaohitaji umakini mkubwa. Serikali tayari imeanza kuchukua hatua madhubuti za kujiandaa mapema kwa kuimarisha ukaguzi mipakani, kuandaa vifaa tiba, na kuweka mifumo thabiti ya ufuatiliaji nchi nzima ili kuzuia na kukabili maambukizi yoyote.
Utaalamu wetu ni wa hali ya juu ikilinganishwa na Mataifa Mengine ikiwemo
nchi yetu imebarikiwa kuwa na wanasayansi na madaktari bora na wenye sifa na hadhi za juu duniani. Mfano hai ikiwa wakati wa mkurupuko uliopita wa Ebola, Kenya ilituma ujumbe mzito wa madaktari waliobobea ambao walikuwa mstari wa mbele kupambana na ugonjwa huu.
Utaalamu na uzoefu wao mkubwa ndio unaoongoza mikakati yetu ya sasa ya kujilinda.
Kutokana na hayo Kuna umuhimu wa Ushirikiano wa Kimkakati na Marekani (U.S.A) na mashirika mengine ulimwenguni.
Katika kuongeza nguvu za mapambano haya, Kuna umuhimu wa ushirikiano wenye manufaa ya pande zote mbili na washikadau mbalimbali ikiwemo Marekani
Ushirikiano wenye manufaa makubwa kwetu.Nchi yetu inapokea msaada wa kifedha na kiufundi ili kuboresha, kukarabati, na kufanya vituo vyetu vya matibabu na utafiti kuwa vya kisasa zaidi, Wataalamu wa Marekani nao watajifunza na kufaidika na utaalamu wa kipekee wa madaktari wa Kenya kuhusu magonjwa ya maeneo ya tropiki.
Serikali inawahakikishia kuwa tuko macho, tuko tayari, na tuna miundombinu pamoja na wataalamu bora wa kulinda Taifa letu.
Tunawaomba wananchi kuendelea na shughuli zenu kwa utulivu na kufuata maelekezo rasmi yatakayotolewa na Wizara ya Afya.
Hon Mwanaisha Chidzuga
Naibu Msemaji wa Serikali
President Ruto’s Key Achievements in Brussels :
- Secured €102 million (KSh 15.3 billion) under the EU–Kenya Digital Partnership to boost digital transformation, connectivity, and jobs.
- Welcomed €37 million (approximately KSh 5.6 billion) in EU funding for the Blue Raman cable’s Africa extension, strengthening regional connectivity & reducing bandwidth costs.
- Advanced the EU–Kenya Digital Dialogue and Data Adequacy process, positioning Kenya to become the first African country to secure an EU data adequacy decision, unlocking digital trade, investment, & tech-sector jobs.
- Launched the Kenya–Benelux Chamber of Commerce to expand trade, investment, export opportunities, & job creation between Kenya & the Benelux region.
- Advanced discussions on expanding Kenya–Belgium trade & investment, including support for regional transport links connecting the Port of Mombasa to the Democratic Republic of the Congo, following talks with King Philippe.
Maandalizi Dhidi ya Ebola Nchini
-------------
Ndugu Wakenya,
Afya, usalama, na ustawi wetu ndio ajenda yetu kuu na ya kwanza katika Serikali yetu.
Kutokana na tishio la sasa la mkurupuko wa maradhi ya Ebola duniani, Serikali inalichukulia suala hili kama dharura ya kimatibabu inayohitaji maandalizi ya mapema, thabiti, na ya hali ya juu ili kulinda maisha ya kila Mkenya, ikiwemo maandalizi ya Mapema na Madhubuti.
Maradhi ya Ebola ni changamoto ya kiafya inaohitaji umakini mkubwa. Serikali tayari imeanza kuchukua hatua madhubuti za kujiandaa mapema kwa kuimarisha ukaguzi mipakani, kuandaa vifaa tiba, na kuweka mifumo thabiti ya ufuatiliaji nchi nzima ili kuzuia na kukabili maambukizi yoyote.
Utaalamu wetu ni wa hali ya juu ikilinganishwa na Mataifa Mengine ikiwemo
nchi yetu imebarikiwa kuwa na wanasayansi na madaktari bora na wenye sifa na hadhi za juu duniani. Mfano hai ikiwa wakati wa mkurupuko uliopita wa Ebola, Kenya ilituma ujumbe mzito wa madaktari waliobobea ambao walikuwa mstari wa mbele kupambana na ugonjwa huu.
Utaalamu na uzoefu wao mkubwa ndio unaoongoza mikakati yetu ya sasa ya kujilinda.
Kutokana na hayo Kuna umuhimu wa Ushirikiano wa Kimkakati na Marekani (U.S.A) na mashirika mengine ulimwenguni.
Katika kuongeza nguvu za mapambano haya, Kuna umuhimu wa ushirikiano wenye manufaa ya pande zote mbili na washikadau mbalimbali ikiwemo Marekani
Ushirikiano wenye manufaa makubwa kwetu.Nchi yetu inapokea msaada wa kifedha na kiufundi ili kuboresha, kukarabati, na kufanya vituo vyetu vya matibabu na utafiti kuwa vya kisasa zaidi, Wataalamu wa Marekani nao watajifunza na kufaidika na utaalamu wa kipekee wa madaktari wa Kenya kuhusu magonjwa ya maeneo ya tropiki.
Serikali inawahakikishia kuwa tuko macho, tuko tayari, na tuna miundombinu pamoja na wataalamu bora wa kulinda Taifa letu.
Tunawaomba wananchi kuendelea na shughuli zenu kwa utulivu na kufuata maelekezo rasmi yatakayotolewa na Wizara ya Afya.
Hon Mwanaisha Chidzuga
Naibu Msemaji wa Serikali
Wakenya wenzangu bei ya mafuta inazidi kutupa presha, lakini nasi katika serikali tunazidi kuweka mikakati ya kudhibiti hali. Tuweni na matumaini na subira kuwa kama Taifa Mapito haya ya ongezeko la bei ya mafuta tutaweza kuyakabili kwa pamoja
Mkenya mwenzangu wakati huu sio wakati wa kutamauka bali kuwa na Imani na ujasiri kuwa tukishirikiana yote yawezekana, kupambana na dhoruba hii ya kiuchumi inayochangiwa na ongezeko la bei ya mafuta ulimwenguni.
Following the directives of H.E. President @WilliamsRuto during the State of the Nation Address and the resolutions of the 12th Summit, the Government has officially enhanced the Social Health Authority (SHA) Benefit Packages under Legal Notice No. 78 of 2026, marking a major milestone in our journey towards Universal Health Coverage (UHC).
These reforms are designed to protect the health, dignity and financial well-being of every Kenyan by expanding access to critical healthcare services.
Under the enhanced package, all registered SHA beneficiaries will now access free maternity services at Level 2 and Level 3 primary healthcare facilities on a walk-in, walk-out basis. The cover includes both normal deliveries and caesarean sections, fully financed through the Primary Healthcare Fund, easing the burden on expectant mothers and advancing safe motherhood across the country.
To strengthen cancer care and shield families from catastrophic medical costs, the annual Cancer Benefits Package has been increased from KES 550,000 to KES 800,000. The expanded cover includes oncology consultations, chemotherapy, radiotherapy, advanced diagnostic services such as CT scans, MRI and PET scans, specialized treatment options including Brachytherapy and SBRT/SBRS, as well as supportive care services.
In addition, the Government has introduced dedicated support for patients living with sickle cell disease. The package now covers apheresis platelets at KES 20,000 and Red Cell exchange at KES 70,000, each accessible up to three times within a policy period.
These interventions reaffirm our commitment to building an inclusive, responsive and people-centred healthcare system where no Kenyan is left behind.
Seeing the energy of our women and youth reminds us why the Bottom-Up Economic Transformation Agenda (BETA) matters. We aren't just planning for 2027; we are delivering on the promises made to every Kenyan. The track record is visible, and the future is bright! 🇰🇪✨
TaitaTaveta
Ground-level impact with the people of Taita Taveta!
It was an honor to join my colleagues, CS Salim Mvurya and our host, the hardworking County MP Hon. Lydia Haika, along with local leaders for a powerful grassroots sensitization forum.
#GrassrootsPower#BETA#KenyaKwanza
In Mghange Nyika, Taita Taveta County ahead of the grassroots empowerment engagement geared towards advancing the people-centered and inclusive development agenda of H.E. President William Ruto.
Kazi Ndogo haipo, Kazi ni Kazi
------------
"Kheri ya Siku ya Wafanyakazi" Mchango wako ni mkubwa kuliko malipo unayopata.
Wewe ni uti wa mgongo majumbani mwetu, ofisi, na katika kuendeleza maendeleo ya nchi.
Shukran kwa Kujituma, kufanya kazi kwa uaminifu na bidii. Mikono yako na jasho lako ndilo linajenga taifa.
#KheriNjemaZaMeiMosi2026"
#HonMwanaishaChidzuga
#DeputyGovernmentSpokesperson
#WomenRepKwale2027
#SuluhuYaKwale
Tahadhari kabla ya hatari.
Kwa wakenya wenzetu wanaoishi katika maeneo ya Garissa na Tana River.
Chukueni Tahadhari Maji yaja na huenda yakasababisha mafuriko hamieni maeneo ya juu yalio salama
-----------
"Maji ni kudzaya, hamukeni milajulu"
"Biyaha ayaa soo socda u dhaqaaqa dhulka sare"
"Bishaan dhufee! gara lafa olka’aa deemsa!"
"Biyo ayaa imanaya, u guura meel sare."
Shukran
We celebrate you, Sabastian Sawe, for a performance of rare brilliance at the London Marathon. You have not only claimed a historic victory; you have redrawn the limits of human endurance, smashing the world record and breaking the two-hour barrier with extraordinary resolve.
This is more than a win; it is a defining moment. Your triumph places you firmly among the greats of global athletics and reaffirms Kenya as an enduring force at the pinnacle of distance running.
We also commend Hellen Obiri and Joyciline Jepkosgei for their remarkable second and third-place finishes in the women’s race. Your discipline and competitive fire continue to define the standard of Kenyan excellence on the world stage.
You have lifted our flag high, inspired a nation, and reminded the world of the power of determination. We are proud.
“To all National Government Administrative Officers @ngaosKE serving in different parts of the country, we sincerely appreciate you and the work you do.” - Dr. Raymond Omollo
Photo Of The Day!
Ya Rais William Samoei Ruto kumi alafu ya Prof Kithure Kindiki vivyo hivyo hapo mbele!
Asanteni sana Murang’a ❤️
#Tutam is Unstoppable