MaaFleva Ent is a Social Enterprise, Headed by a dedicated team of young dynamic and creative professionals that brings Transformation through Art&Music
Walimu na wazazi kutoka kaunti ya Kajiado wanapinga vikali hatua ya tume ya kuwaajiri waalimu nchini TSC kuiondoa kaunti hiyo kwenye orodha ya maeneo yenye ugumu wakisema hali ya maisha ni ngumu zaidi haswa katika shule zilizoko mashinani. #K24Mashinani https://t.co/JeqKuBP795