Mwanaume, Kama hauwezi kudhibiti tamaa za KINGONO.
Hautaweza kudhibiti mambo mengi zaidi kwenye maisha yako..
Kichwa cha chini hakijawahi kumuacha mtu salama, Nyeto sio nzuri kwa afya yako..
Learn Or Perish | Good Morning Familia...🩺
Watu wenye roho safi, wema, wapole, na wacheshi siku zote hawanaga bahati kwenye mahusiano, ndani ya mioyo yao ni watu wapweke sana ila usoni ni watu wenye furaha muda wote🤒🙌
Bado kuna kitu hatujaelewana kuhusu tawala zilizopita na tawala za sasa!!
Regime ya 1995-2015 agenda kubwa hasa za wapinzani zilikuwa Rushwa & Ufisadi!!
Tulipofika mwaka 2015 Gari likapiga U-turn
Agenda mpya ikawa introduced hapa!!
Yes kwa kiasi kikubwa Banza aliweza kupunguza ufisadi & rushwa 👏
So agenda za zamani zikawa ziko sorted asilimia fulani!!
Alichokosea Banza ni ali-introduce agenda nyingine mpya ambayo huko mwanzo haikwepo, na kama ilikwepo haikuwa kwa kiwango kikubwa kama cha kipindi chake!!
Ndipo ukaanza #Utekaji #Uuaji Maiti zikaanza kuokotwa baharini
#FreedomOfSpeech ukikosoa unashughulikiwa!!
#MediaHouse zikaanza kunyimwa uhuru wa kukosoa!!
#Wapinzani wakaanza kupewa kesi na kufungwa, wengine wakipigwa risasi mchana kweupe!!
Wapinzani wakaondolewa Bungeni kisiasa, na mpango ulikuwa kuua upinzani!!
Nchi ikawa bubu ba iliyojaa hofu kubwa!!
Ilikuwa ni regime ya UDIKTETA!!
Hivyo anko aliweza kuzuia ufisadi & rushwa lakini alileta life style nyingine mpya kabisa na mbaya coz iligusa uhai wa mtu!!
So stop saying kwanini Magu mlimkataa, Yes tulimkataa coz ali-introduce kitu kibaya nchini, ingawa aliweza kuzuia rushwa na ufisadi!
Alicho ki-introduce Banza kwenye utawala wake, hawa waliomfatia wameendeleza tena wameenda xtra miles!!
MBAYA ZAIDI HAWA WA SASA WAMERUDISHA NA ZILE AGENDA ZA ZAMANI RUSHWA & UFISADI!!
Yani hawa wa sasa wanakula #Rushwa wanafanya #Ufisadi Then Wanaminya Uhuru wa watu kukosoa, #Wanateka #Wanaua #Wanabaka #WanaBan Media house!! Wanafunga wapinzani…….
Ndio tuko hapo sasa…..
MAMBO 9 YA MUHIMU KWA SASA YA KUMPATIA MTOTO WA KIUME
1. Mfundishe aijue dini amjue Mungu
2. Mfundishe hakuna kumruhusu mtu yoyote kumshika wala kumchezea sehemu zake za siri
Au marafiki zake wakiwa na michezo mibaya ya kufirana akimbie aje kusema kwako
Au kama kuna mtu anaanza kumfanyia michezo mibaya aje aseme tu hata atushiwe vipi wewe ndo baba yake au mama yake utamlinda
3. Mfaye ajue elimu ndio urithi wake wa kwanza kumtoa ujinga kwenye hii dunia
4. Mfundishe Heshima kwa watu wakubwa kwa wadogo
5. Mfundishe kuzitawala hisia zake na kujua ni muda gani mzuri wa kuact au kukaa kimya
6. Mkumbushe kila mara yeye ni mwanaume tu anatakiwa kuwa mwanaume kufikiri kama mwanaume yeye ni kichwa cha familia yake siku moja
7. Mkumbushe kujiongeza akili popote anapokutana na watu marafiki mambo mabaya wakifanya yeye akae mbali kabisa kwasababu hayana faid kwake zaidi ni hasara na majuto makubwa
8. Mfundishe kazi na sio kumdekeza tu hapo home ....pia unakuwa mnampa mawaidha duniani ukiwa mvivu unapenda mambo mazuri binadamu watakutumia vibaya .....
9. Usimpe anachotaka siku zote .....ajue tu atapata kilichopo au anachostahili ...ajue kuna kukosa pia ajue kuvumilia
Hapa mtoto ukimaliza unamuachia Mungu kwa ulinzi zaidi ....
Mimi Hata Logic Ya Mwanamke Kuwa Na Marafiki Wa Kiume Huwa Na Ikataa Kabisa,Hakunaga Urafiki Kati Ya Mwanaume Na Mwanamke Labda Kama Wanavutaga Bangi Wote