Kati ya marafiki zako 10 was karibu kabisa...8 hawataki utoboe wala kufanikiwa na hao waliobaki 2 japo wanakupa support kishingo upande. Sisi wabongo tunapitia mengi sana mpaka kupenya na kufikia malengo#UjasiriamaliFactbyMacTemba#Bongonyoso
Jizungushe na watu wanaoongea kwa vitendo, si maneno. Watu wanaopanga maisha kwa miongo, si wiki. Wanaoona lengo na kulifuatilia bila kusita.
Watu wanaosali zaidi, wanaokulazimisha ukue, utoe kilicho bora ndani yako, na wasikubali uishi chini ya uwezo wako.
Hawa ndio watu wanaobadilisha dunia. Wanasukumana kila siku kuwa bora zaidi. Kwao kazi ni vita na sanaa kwa wakati mmoja, malengo ni haki yao, na biashara ni mchezo wanaoujua kushinda.
Ukibarikiwa kuwapata, shikamana nao. Usipowapata… kuwa mmoja wao. 🔥
Sisi ni @macautoxpre
Tunapokea magari ya ajali ya bima na kukutengenezea ndani ya muda mfupi under your Comprehensive Insurance, kwa maulizo tupigie***
Tunafanya kazi na kampuni zote za bima Tanzania 🇹🇿
#wefixcars24hrs
CALL📞 0715000890/0622120111/0674120000/0715120222
Maneno kuhusu kulishana sumu yamekuwa mengi nchini na hiyo si hali salama. Wanasiasa wanazidi kuisukuma nchi hii kuelekea kuzimu na tusipofanya hadhari tutafika huko. Sifa ya uwezo wa kiongozi ni pamoja na kuitambua hii kama hatari na kuikemea na kuiondosha. Itatumaliza!
Bongo hii Tuzo zimekuwa nyingi kama Marathon daah kila week kuna tukio la tuzo... Nachokiona mimi ni kama influencing participants na maokoto fulani yanafanywa yaani kimjini wanasema Lipa upewe Promotion/Branding fulani #NchiNgumuhii
Nimeona interview ya Chidi Benz in Shajara @CloudsMediaLive inasikitisha sana. Ana kipaji kikubwa but anachopitia ni kigumu sana huwezi elewa kabisa kama hujawahi kumjua kabla ya haya mapito yake#Shajara @babbiekabae