Vijana wengi waliojiunga na maandamano hawakujua kwamba nyuma ya harakati hizo kulikuwa na maslahi ya kisiasa na kifedha ambayo hayakuwahusu wao. Wengi walitumika kama zana huku wakifikiri wanapigana kwa ajili ya haki na uhuru wa kweli wa wananchi wenzao. #MariaSarungiNiMamluki
na maboresho ya masoko na maeneo ya ujenzi, biashara na masoko.
“Hii itavutia na kuongeza fursa za ajira kwa vijana, wanawake na makundi maalumu,” amesema Balozi Omar.
Serikali imesema katika mwaka wa fedha 2026/25 imepanga kutoa msamaha wa kodi ya mapato kwa wafanyabiashara wapya kwa kipindi cha mwaka mmoja tangu tarehe ya kupata namba ya utambulisho wa mlipakodi.
Imefafanua kuwa hatua hiyo ni sehemu ya jitihada za Serikali za kuendelea
mikopo ya vijana, wanawake na wenye ulemavu,” ameeleza Balozi Omar.
Balozi Omar amesema kati ya asilimia 15 zitakazotengwa asilimia 10 zitaendelea kuelekezwa kwenye makundi ya wanawake, vijana na wenye ulemavu huku asilimia tano ikitumika kwa ajili ya uwekezaji wa miradi, ujenzi
kwa kutumia mbegu zinazozalishwa ndani ya nchi.
Balozi Omar amesema hatua nyingine ni mnyororo wa pamba, nguo na vitambaa, jambo litalowezesha nafuu wa ushuru wa forodha kwenye malighafi, mashine vinavyotumika katika vitambaa na nguo nchini na uzalishaji vipuri.
hatua hiyo itawezesha Taifa kuchangia katika kufikia malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050.
Waziri Omar ameeleza hayo leo Alhamisi Juni 11,2026 wakati akiwasilisha mapendekezo ya bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka 2026/27 bungeni jijini Dodoma, tukio linalofuatilia mubashara
yamezingatia baadhi ya 49 maoni hayo.
Ametaja baadhi ya maeneo yanayopendekezwa kufanyiwa maboresho ni kustawisha sekta za uzalishaji katika mnyororo wa thamani wa mafuta ya kula, hatua itakayowezesha msamaha wa kodi ya ongezeko la thamani kwenye mafuta ya kula yaliyozalishwa
Bajeti hii imelenga kuboresha mazingira ya biashara
Kupunguza ada na tozo.
Kuvutia wawekezaji wa ndani na nje.
Kuanzisha Dar es Salaam International Financial Centre (DIFC).
Kurahisisha upatikanaji wa mitaji na dhamana kwa wafanyabiashara.
#BajetiYaSerikali2026
Rais Samia Suluhu Hassan, amejiunga moja kwa moja kwa njia ya Televisheni kufuatilia Bajeti Kuu ya Serikali inayosomwa Bungeni leo Juni 11, 2026 na Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar.
Rais Samia Suluhu Hassan, amejiunga moja kwa moja kwa njia ya Televisheni kufuatilia Bajeti Kuu ya Serikali inayosomwa Bungeni leo Juni 11, 2026 na Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar.
Rais Samia Suluhu Hassan, amejiunga moja kwa moja kwa njia ya Televisheni kufuatilia Bajeti Kuu ya Serikali inayosomwa Bungeni leo Juni 11, 2026 na Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar.
Ndugu zangu Watanzania,
Tangia kuingia madarakani kwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Amekuwa usiku na mchana akitoa na kuidhinisha mabilionea kwa Matrilioni ya pesa kuelekeza katika utekelezaji wa miradi
Daraja la Magufuli si tu limeunganisha kingo mbili za Ziwa Victoria, bali limeunganisha fursa za kiuchumi, kijamii na maendeleo kwa mamilioni ya wananchi wa Kanda ya Ziwa na nchi jirani zinatotehema njia hiyo kwa kushughuli za biashara.