@Milele_FM Biblia. Yoshua 1:9
[9]Je! Si mimi niliyekuamuru? Uwe hodari na moyo wa ushujaa; usiogope wala usifadhaike; kwa kuwa BWANA, Mungu wako, yu pamoja nawe kila uendako, hi ndio neno linipaalo nguvu #BarakaZaMilele
@EvahMwalili@Milele_FM@Milele_FM good morning Mama Destiny nitashiriki ibaada hapa MileleGospelSunday, nawatakia wachungaji wangu leutn Jemimah ayanga, leutn Charles and Rose Muteti na washiriki wote wa Silanga salvation Army wawe na blessed Palm Sunday kabiria settlite iko locked #ServiceCheck
@DorahManya@radioSimbafm@radioSimbafm good morning sister Dorah Mungu baba anatufanyia Mambo ambayo mwanadamu hawezi kufanya na Kila wakati Mimi Ni mshindi #