Home
Language
English
Türkçe
Bahasa Indonesia
About
Privacy Policy
Terms of Service
Pricing
Sign In
Download All
Share
Mnyamwezi
@MadoshiOfficial
Business man.
Tanzania
Joined July 2022
875
Following
148
Followers
2.1K
Posts
Pinned Tweet
Mnyamwezi
@MadoshiOfficial
about 3 years ago
Alimiambia "Tone moja la ubaya linauwezo wa kuchafua bahati ya wema" sikuamini Hatimae mimekua nimejionea..
#Mama
.
Mnyamwezi
@MadoshiOfficial
about 1 month ago
@zed_officially
Tugawane zambi kidogi
Mnyamwezi
@MadoshiOfficial
about 1 month ago
@Baradhuli2
Video iko wap sasa
Mnyamwezi
@MadoshiOfficial
about 2 months ago
Ukimpata mtu mwenye akili zaidi yako, fanya naye kazi Usishindane nae.
Mnyamwezi
@MadoshiOfficial
about 2 months ago
Kama haiamini akili yako, haeezi kuyaelewa mapenzi yako. Muache Aende.
Mnyamwezi
@MadoshiOfficial
about 2 months ago
Ishi na watu vizuri, usije ukapewa pole kwenye matatizo yanayohitaji msaada.
Mnyamwezi
@MadoshiOfficial
about 2 months ago
Ukitaka kuanza jambo, panga Ukipanga, Fanya Vumilia, Ukivumilia Kaza, Ukikaza utatoboa.
Mnyamwezi
@MadoshiOfficial
2 months ago
Nashujuru Mungu kwa nyakati ambazo hata sikuomba kweli, lakini yeye alikuja.
Mnyamwezi
@MadoshiOfficial
2 months ago
Jitihada za leo ndizo zinazoandika hadithi ya mafanikio ya kesho.
Mnyamwezi
@MadoshiOfficial
2 months ago
Kuchagua mama mzuri kwa waoto wako ni mhimu zaidi kuliko kuchagua mke mzuri kwako mwenyewe.
Mnyamwezi
@MadoshiOfficial
2 months ago
Jifunze kusubiri kwenye kila jambo usijipe kipaumbele kikubwa kwamba unastahili kuwa wa kwanza kupata kitu au nafasi
Mnyamwezi
@MadoshiOfficial
2 months ago
Mungu fundi sana, sometimes anakuvunja vunja ili akujenga upya, wewe unadhani umeisha, kumbe ndio unaanza upyaaaaa.
Mnyamwezi
@MadoshiOfficial
2 months ago
Bila afya njema, hata ndoto kubwa kabisa inabaki kuwa wazo tu, itunze kama chombo kinachobeba hatima yako.
Mnyamwezi
@MadoshiOfficial
2 months ago
Daima thamani huonekana ukishapoteza wakati ambao huwezi kupata kitu au mtu kwa wakati unaoutaka majuto huwa mazito sana
Mnyamwezi
@MadoshiOfficial
2 months ago
@earadiofm
Kufa ni kufa tu. Kifo ni kifo
Mnyamwezi
@MadoshiOfficial
2 months ago
@MsigwaGerson
Kwamba kifo ni kifo tu
Mnyamwezi
@MadoshiOfficial
2 months ago
Sawa alikupenda sasahivi yuko wapi?...
Mnyamwezi
@MadoshiOfficial
about 1 year ago
@babalao__
Ha ha ha,
Mnyamwezi
@MadoshiOfficial
about 1 year ago
@minimalistbaker
Hii ndo keki ya taifa wakuu
Mnyamwezi
@MadoshiOfficial
about 1 year ago
Ndo ujinga tulionao sasa mimi hata sina mda wa kuangalia
Mnyamwezi
@MadoshiOfficial
about 1 year ago
@Rydx_017
@athanas_pius
@babalao__
@DullahTheking2
@MissChelsea1221
@Balyx_
Wanao msaport huyu mpuuzi ni watu wa kuangalia mara mbuli mbili
Last Seen Users on Sotwe
SNAPCHAT KIZLARI
Seen from
France
Foyege
Seen from
Thailand
berk_ergene
Seen from
Turkey
AI Hunter
Seen from
United States
LEZLERİN DÜNYASI
Seen from
Turkey
السلطانه أمواج
Seen from
Turkey
Abigail Hehoo
Seen from
Indonesia
ال صياد @
Ram Kiran
Seen from
United States
Gabriele Vernucci
Seen from
Italy
Trends for you
1
$ANT
Under 10K tweets
2
#VideoAgent
Under 10K tweets
3
#OlandriaxFashionMagazine
Under 10K tweets
4
Marlon Humphrey
Under 10K tweets
5
Lucia
Under 10K tweets
6
Putin
Under 10K tweets
7
#TSHolidaySnowGlobeCollection
Under 10K tweets
8
JMac
Under 10K tweets
9
$AMD
Under 10K tweets
10
Greenland
Under 10K tweets
Most Popular Users
1
Elon Musk
@elonmusk
240.5M followers
2
Barack Obama
@barackobama
118.7M followers
3
Cristiano Ronaldo
@cristiano
114.4M followers
4
Donald J. Trump
@realdonaldtrump
111.8M followers
5
Narendra Modi
@narendramodi
107M followers
6
Rihanna
@rihanna
98.7M followers
7
NASA
@nasa
92.2M followers
8
Justin Bieber
@justinbieber
91.8M followers
9
KATY PERRY
@katyperry
90M followers
10
Taylor Swift
@taylorswift13
84M followers
11
Lady Gaga
@ladygaga
75.5M followers
12
Virat Kohli
@imvkohli
73.4M followers
13
Kim Kardashian
@kimkardashian
70.8M followers
14
YouTube
@youtube
68.7M followers
15
Neymar Jr
@neymarjr
66.4M followers
16
Bill Gates
@billgates
65.2M followers
17
Selena Gomez
@selenagomez
63M followers
18
The Ellen Show
@theellenshow
62.1M followers
19
CNN
@cnn
61.7M followers
20
X
@x
60.6M followers
Olivia
Online
✨
⭐
💫