Elewa kwamba WATU wengi walio kuzunguka ambapo ww Unaona ni wapendwa wako wanapenda
ufanye vzur ila sio vzur zaidi Yao,..
Baki na Siri zako Watu Hawana Utu Tena
[Hakika sisi tumekiumba Kila kitu kwa kipimo. (Kwa Makadirio)
📌 (Kila kitu kilichokupita hakikuwa kwa ajili yako, wala ww haukuwa kwa ajili ya kitu hcho
📌 (Kila Mtu ambae ulidhani anaendana na we we kisha haukumpata, hakuwa anaendana na wewe
SURAT AL QAMAR
"Ukiogopa Sana Lawama huwezi kuyafurahia Maisha yako....
Kumbuka kuishi ni mara moja tu hapa Duniani, na Kuishi ni Lawama,
Lawama ni kwa walio Hai, Sifa nzuri ni kwa marehemu Tu" 📌
Mungu wetu Halali wala haendi likizo,.hatuachi kumuomba na anafuta MATATIZO..,
Yakija tena namuomba tena na MUNGU anafuta tena
KIFO KINIUE AU MAUMIVU yanikomaze✍🏾