Kwa hali ya uchumi ilivyo wkt huu ni hatari kubwa kuruhusu Makampuni yanayo saidia watu kujiajiri kufunga biashara.Mtasababisha ghasia na uhalifu mkubwa mitaani.Wizara ya fedha inahitaji watu wenye maarifa na ubunifu mkubwa juu ya uchumi na biashara.Kuna shida kubwa mahali.
Lipi sahihi? Nyumba tatu alizouza mwaka 2019 au fedha za CRDB, Sayona na Seba? Mpaka hapo utaona kwamba kuna mahali Harmonize hasemi ukweli. https://t.co/qIUcLHhHio
I had a productive meeting today with Jared Kuehl, Vice President, Shell Tanzania and Unni Fjær, Vice President, Equinor Tanzania. I expressed our utmost desire to see the LNG project happen. The government is reorganizing teams for immediate, speedy and fruitful negotiations.