Maandamano ya 7/7 yalioandaliwa na GEN Z binafsi nayaunga mkono asilimia mia mbili.
Kiuhalisia naona 7/7 yenyewe inachelewa kufika. Watu hawajazika wapendwa wao mpaka leo ni miezi 7 wanaomboleza hakuna MAJIBU KUTOKA Kwa wakoloni weusi.
Watanzania bado wanaendelea KUTEKWA NA KUPOTEZWA kila sikuโwengine wakiwapata wapendwa zao wanawakuta hawana VICHWA wanazika kiwiliwili na hakuna majibu kutoka kwa WAKOLONI WEUSI.
TUNDU LISSU bado yupo jela na hakuna KESI dhidi yake zaidi ya siku 400 sasa, na wakoloni weusi wapo KIMYA tuu ni kama wanaona wanatumudu.
Haya maumivu tunayopitia watanzania lazima wajue tunaumia na sauti yetu lazima waisikie.
Screenshot hii ina makosa kibao, nikiachana na makosa KIBAO ya Risiti naamini wataalamu watayaweka hapo kwenye comment mimi nitadeal na CHAT hii ya whatsapp.
1. โUnread messageโ ina blue tick-huu ni muujiza.
2. Angalia saa 6:08 ilipokaa-imepandiana juu ya maneno sijui simu ya mwanetu KISWASWADU.
HOJA YANGU HAPA NI HII: Buyobe kakili Msuya na MSHABAHA walikutana ndani ya week mbili wakajenga mazoea makubwa mpaka kufikia hatua ya kukopeshana hela kama hivi anavyosema BUYOBE.
Swali: kwamba mtu ukopeshwe 4M ndani ya kipindi kifupi cha week mbili ya kujuana na utakiwe kurejesha pesa, na ushindwe au urejeshe na hukumu yake iwe KUTEKWA?
MWISHO.
Hizi chats ndio zilitumiwa na CHAWA kulisafisha TAIFA kuwa hakukuwa na UTEKAJI Kenya ila ni watu waliokuwa wanadaiana.
Leo hizi chat anakuja kuzitumia BUYOBE, nafikiri tumemjua aliekuwa MPISHI mkuu wa kuwapa MATANGO PORI CHAWA kipindi kile.
Bado naendelea kuchukua notes.
TUTAKUWEPO๐ซต๐พ๐