@Dr_DGwajima Hongera sana Mhe. Kwa kutekeleza jukumu alokupa Mhe. Rais wetu mpendwa Dkt. Samia Suluhu Hassan nakupongeza na Mungu aliyejuu azidi kukubariki akusimamie kwenye kazi yako unaitendea haki sana hii Wizara 🙏
@FKihamu Wewe ulisema hivi “Rasmi nimefunga mikono yangu, siandiki tena hii kitu kumbe ina mambo mengi sana, tunaweza kukomaa na kanuni kumbe wala watu hawako huko kwenye karatasi zetu”
Kwa maana hiyo hupaswi kuandika tena usipuyange bana mdogo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kigali tayari kwa kuhudhuria sherehe za uapisho wa Rais Mteule wa Rwanda, Mhe. Paul Kagame, tarehe 11 Agosti, 2024.
Baada ya kufungua Whatsapp bonyeza kitufe cha 'Update' ambacho kiko chini kushoto, kisha chapa jina: "Dk. Hussein Ali Mwinyi" katika eneo la utafutaji (Tafuta). Baada ya kubonyeza 'Ingiza', jina uliloandika katika sehemu ya utafutaji litaonekana. Kisha, bonyeza jina ili ujiunge
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. @SuluhuSamia leo Jumatano Aprili 10, 2024 ameshiriki Sala ya El-Fitri katika Msikiti wa Mfalme Mohamed VI wa Morocco uliopo makao makuu ya BAKWATA, Kinondoni Dar es Salaam.
@SuluhuSamia Allahumma Aamin insha'Allah mola azidi kukulinda kipenzi chetu sisi Watanzania tunakupenda, ila natamani nipate walau muda wa kukutana na wewe mama naomba hilo.