@eve_shayo@HildayaD Inaonekana huna wazo la kuwa na familia.
Mfumo dume ni pale mwanaume anashindwa kujitambua na kusimamia majukumu yake.
Lakini pia kuna mfumo jike ambao ni pale mwanamke anashindwa kujitambua na kusimamia utekelezaji wa majukumu yake.
@VodacomTanzania Napenda kujua kama mtumiaji wa laini ya Vodacom jina alilitumia kusajiliwa laini ya Vodacom ni tofauti na jina la kitambulisho cha taifa na anatamani aendelee kutumia namba ile ile
Mnasaidiaje mtumiaji wa laini hiyo.???
Daaa
nimeangalia post nyingi sana na comment nyingi sana
Kila mmoja analo analowaza moyoni mwake
Tunahitaji mabadiliko makubwa sana
Kimaisha, kifikra, na maamuzi.
MUNGU BABA tusaidie๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Maisha yapo na yataendelea kuwapo.
Lazima uangalie no nini unafanya ili jamii ipate faida.
Kila mmoja yupo kwaajiri kuitetea jamii
--Ukiwa kiongozi
--Ukiwa mwanasiasa
--Ukiwa mfanyakazi
Lazima uhakikishe unatenda, unaongea mambo ambayo yanainua jamii. Kwa kumpenda MUNGU BABA.
@MgombaG Kwa namna wanavyofanya hii kazi. Hawatawafikia wananchi wote kwa huo muda labda wabadili utendaji.
Maana kwa Sasa hata nusu ya watanzania sidhani wamewafikia.
๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ