@Mwinshehe07 Alikuwa mzuri au alikuwa mweupe na kuweza kuji brand hakuna uzuri wowote hapo nimejitaidi sana kufuatilia picha zake lakini sio huo uzuri mnaosemeha ninyi
@mj0058 Punguza matumizi ya simu hasa nyakati za usiku na pata muda mwingi wa kupumzika hasa usiku mwisho kunywa maji ya kutosha walau lita 3 kila siku