@SimbaSCTanzania Ni muda wa viongozi, wanachama, viongozi na Sisi mashabiki kuungana na kufocus na mchezo wenywe,
Lai yangu ni tupunguze au kuacha kabisa kulalamika juu ya uwanja nahis ni kutafuta visingizio Tu, tuuheshimu mpira tunaweza kucheza Kwa mkapa na tukatoboka vile vile
@sportshqtz@FKihamu@shaffihdauda1@SportsarenatzTz Watu wapo kimkakati Sana hatua kama hizi,,,
Simba hatukuwaheshimu kabisa wapinzani,
Kocha katuangusha pia Kweny kufanya sub
Forward line butu.(Shooting ability hakuna na uchoyo pia)