Ujue ukweli na uwongo juu ya uamuzi wa Bunge la Ulaya kwa Tanzania. Vyombo ya habari uchwara na media za akina Maria, wanasambaza uwongo kuzua taharuki na kueneza chuki. Hii isambae ndugu zangu iende mbali zaidi Watanzania wajue ukweli..
In 2018, several donors suspended funding, yet Tanzania's GDP continued to grow and the country officially attained lower-middle-income status in 2020. Development is driven by production, investment, and resilienceโnot aid alone.
Nchi za Ulaya na mshirika wake Marekani ni lazima wajue kwamba Tanzania ni nchi huru, na hata hiyo misaada ya ufadhili wake fedha wanazotupa, sio kwamba wanatupa bura na kuwa hawapati kitu, kipo wanachopata na sisi tunasema, waache kutupa tutajua cha kufanya.
Huyu ni Mtanzania pekee aliyetajwa kwenye #EpsteinFiles, Maria anatajwa kuongoza kazi ya kusafirisha mabinti wadogo kwenda kwenye Kisiwa na Epstein kilichopo Caribbean Sea Virgia. Kiwango hiki cha Ukatili mtu pekee anayeweza kufanya ni Maria. Huyu malaya kujiita mzalendo ni fixi.
Recently, a video capturing foreign travel vloggers hitchhiking through rural Chinaโs Shaanxi Province went viral online. Luke, a British national residing in Chinaโs Xinjiang Uygur Autonomous Region, remarked that China's countryside is defined not only by its warm and hospitable people but also by its well-developed and convenient transport infrastructure. He further noted that beyond hitchhiking, there are far more convenient ways to explore rural China today, such as renting a car for a self-drive tour.
#HABARI Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetangaza wajumbe 11 wa kamati maalumu ya Kamati Kuu itakayoratibu na kuendeleza mchakato wa ukusanyaji wa maoni kuhusu upatikanaji wa katiba mpya kabla ya mwaka 2027.
Hatua hiyo inalenga kuchochea mjadala wa kitaifa na kuimarisha ustawi wa wananchi kupitia maboresho ya mfumo wa kikatiba.
Kamati hiyo inaongozwa na Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Dk. Rugemeleza Nshala, akiwa mwenyekiti, huku Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha), Wakili Deogratius Mahinyila, akiteuliwa kuwa katibu. Kamati imepewa hadidu za rejea nne na muda wa miezi mitatu kutekeleza majukumu yake.
Wajumbe wengine ni pamoja na Wakili Ali Ibrahim, Suzan Lyimo, Ruthy Moleli, Pamela Maasay, Wakili Gaston Garubindi, Zeud Mbano na Boniface Jacob maarufu Boni Yai.
Pia kamati hiyo imejumuisha washauri wawili wasio wanachama wa Chadema, ambao ni Wakili Mpale Mpoki na Wakili Jeremia Ntobesia, kwa ajili ya kuimarisha mchango wa kitaalamu katika mchakato huo.
#EastAfricaTV
MTAJI WA HARAKATI ZA MARIA NI DAMU ZA WATOTO WA WATU.. ๐
MNAWEZEKANA kwa kuwa hajawahi kuzaa au kuwa na watoto haelewi uchungu wa watoto. Inawezekana kukosa kizazi kwake kunamfanya awe na roho ya kinyama na kishetani kiasi hiki lakini jibu ni moja tu kuwa kwake harakati ni kutumia damu za watu kama mtaji wa kufanya mambo yake.
HAIWEZEKANI kwa mtu mwenye akili timamu na aliye na roho ya kibinadamu kama anaweza kusukuma watu kwenda kufanya vurugu na kucohcea machafuko tena kama walivyofanya 29 Oktoba 2025 na tena awamu hii anaagiza kabisa wapi kwa kupeleka risasi sijui maganda ya risasi kama ushahidi..
HII MAANA yake watu hawa wametumwa na hawa wanaosema wapelekewe ushahidi wa maganda ya risasi ndiyo wako nyuma ya kila wanachokifanya hawa watu na wanawafadhili kufanya haya mambo.. Yaani unapoagiza watu kupeleka maganda ya risasi kwenye ubalozi wa USA au UK maana yake nini? Tunaelewa unaposema wapeleke ushahidi kwenye ofisi za CHADEMA kwa sababu inajulikana CHADEMA ni chama cha kigaidi na kina mlengo gani na kinafanya nini!
LAKINI kitendo cha kuhusisha balozi za nchi za nje zilizoko Tanzania kuwa sehemu ya mambo ya vurugu zenu ni kielelezo cha wazi kabisa kuwa Maria na wanaojiita wanaharakati wako kwenye project ya muda mrefu sana ya kuivuruga Tanzania ndiyo maana sasa baada ya kushindwa kuangusha dola tarehe 29 Oktoba 2025 sasa wanakuja na mambo yale yale siku ya 77..
Maria na kundi lake wamekuwa mstari wa mbele sana kuchochea vurugu na kuhimiza vijana watoke na kufanya vurugu lakini hata siku moja siyo yeye , mama yake ,hawara yake yule teja muethiopia au dada zake waliowahikuwa sehemu ya vurugu anazozichochea.
Maria ambaye ni raia wa Hungary mwenye passport ya Tanzania hajawahi hata siku moja kushiriki hizi vurugu anazoziita maandamano. Leo hii wananchi wa Kimara na maendeo ya Kimara wanateseka kwa kukosa usafiri kwa kuwa vurugu alizozoshabikia na kuzianzisha Maria 29 Oktoba 2025 zilisababisha miundo mbinu ya BRT kuchomwa moto kabisa..
UKIPITA leo njia ya Kimara hicho unachokiona ndicho ambacho watu hawa wanatamani nchi nzima iwe hivyo na ndiyo furaha yao.. Ndiyo maana kila siku wao lugha yao ni violence na kuchochea watu kuuliwa ili waendelee kudanganya watu kuwa sijui kuna ICC blah blah.. Hivi inaingia kweli akilini mtu anayesema anawapigania haki zenu sijui katiba mpya anafanya hayo akiwa mafichoni Kenya! Kwa nini haji kusimama mstari wa mbele kufanya hizo harakati?
ANALETA upuuzi wa Gen- Z sijui takataka gani.. Yaani criminals na vibaka wanaowashawishi kufanya vurugu kwao ndiyo Gen-Z? Haya yote wanayafanya kwa kuwa hawana cha kupoteza na hawana watoto na hawajawahikuwa na uchungu na watoto na wanachofanya ni kuchochea na ku radicalize vijana na criminals mitaani kufanya vurugu na kusema ni maandamano.
YAANI kwa mfano ukiwauliza leo hii wanaandamana kuhusu nini watakuambia Chiba aachiwe kutoka jela! Hivi huyu Chiba si ndiyo mlikuwa mnasema anatoa shule ya sheria na Katuga na wenzake watashindwa kesi? Sasa imekuwaje tena hiyo shule ya sheria? Si mlisema Chiba ndiyo mtamtumia kama 'bargaining chip" kwa CCM kuwakabidhi dola sasa imekuwaje tena?
UKIONA mtu anayetumia damu za watu kwa ajili ya kufanya harakati na kufikia malengo yake basi kaa ukijua huyo mtu ni hatari kuliko hata shetani mwenyewe na huyu sasa ndiyo MARIA SARUNGI rais wa Hungari mwenye passport ya Tanzania namba TAE 149820 aliyopewa tarehe 26 July 2019
MUOGOPENI SANA HUYU MTU๐
#KigogoMediaUpdates
Hakika Kongamano cha CHASO leo lilifana sana. Vijana wa vyuo vikuu Dar es Salaam wengi wameondoka bila kula, vyakula vingi viliwekwa meza kuu, ukimtazama huyo Mwanasheria wao wa Chama ndio alishindwa hata kukaa akawa anakula wima.. Hakuna chama hapa..๐๐๐
Hiki chama kina matatizo makubwa sana, kwenye kila kitu yani, sio utendaji, maadili hata uadilifu, kila kitu kina matatizo ndani ya chama hiki, halafu at the same time kuna watu bado wanawaza hiki chama kitakuja kuwakomboa..
Katika uchumi, hakuna asset inayokaa bila matumizi. Dhahabu ni rasilimali ya taifa. Kuuza sehemu yake ni kuifanya ifanye kazi kwa maendeleo, sio kuimaliza.
Vijana hawaelewi kwamba;
Kuuza sehemu ya gold reserve sio kwamba tuna crisis, ni mkakati wa kiuchumi.
Badala ya kukopa mikopo yenye riba kubwa, Tanzania inatumia rasilimali zake.
Bei ya dhahabu iko juu duniani, hivyo kuuza sehemu ni uamuzi wa busara wa kiuchumi na kwenye hili kuna faida kubwa sana.