#NipeDili
🔰 B. Degree in Business Administration - BBA
🔰1 year of working experience (Volunteer)
🔰Additional Skills (Administration, HR, Finance, Corporate Sales & Communication)
🔰Cv and other credentials readily available
🔰[email protected]
Rt 🙏🏾
Presided over the 34th Liberation day celebrations, in Ibanda District.
I thank H.E Jakaya Mrisho Kikwete for honouring my invitation and joining us at this historic event.
Maisha yako kwenye social media yanaweza kuwa ya furaha au msongo wa mawazo (stress) kutegemea na unachopost,unachoshiriki kusambaza,unachochangia,watu unaowa-follow na wale unaowaruhusu waku-follow.Uzuri ni kuwa maamuzi ni yako, simu ni yako na bando ni lako.Miliki akaunti yako!
FURSA: Ungependa kuwa brand influencer? Yaan kulipwa pesa kidogo kutweet matangazo ya biashara.
DM email & industry unazopenda kufanya mfano:
Email:[email protected]
Interests: Siasa, Telecom, NGO nk
Tafadhali RT wengine wanaweza kuwa interested. 🙏
Umewafungulia Dunia mamia ya Vijana nchini, umekuwa mbunifu na mtambuzi wa fursa mbalimbali, Hakika tumepoteza Shujaa na Mpiganaji mahiri. Pumzika kwa amani Ruge.
Nimepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha kijana wangu Ruge Mutahaba. Daima nitamkumbuka kwa mchango wake mkubwa ktk tasnia ya habari, burudani, na juhudi za kujenga fikra za maendeleo kwa vijana. Poleni wanafamilia,ndugu,jamaa na marafiki. Mungu amweke mahali pema, Amina.
Iko miti ya kivuli, iko miti ya dawa, iko miti ya mbao, iko miti ya matunda, miti ya mazao,iko miti ya miiba, miti ya kunyonya sumu ardhini na mingine mingi. Ndivyo pia walivyo wanadamu. Wako sampuli tofauti, kwa madhumuni tofauti, kwa wakati tofauti. Muhimu ni kuwafahamu.