Kujiamini si kitu unachoamka nacho tu.
Hujengwa polepole, kupitia kila wakati mgumu unaochagua kukabiliana nao.
Kila tatizo unalotatua, kila hofu unayoshinda, huongeza sababu nyingine ya kujiamini.
Ushindi wako wa zamani ni uthibitisho wa kukabiliana na kinachofuata.
Mwalimu na wanafunzi wa vyuo vikuu wanapewa kesi za ugaidi sio kwa sababu yoyote yenye tija, ni juu ya hofu ya mtawala anayenuka damu za watu.
We gotta get rid of this bloody regime ffs, haya sio maisha yetu!
Free Prof Kaijage and the boys now!
Sio kila changamoto itatatuliwa kwa maombi na kufunga. Wakati mwingine suluhisho ni kutubu, kwenda kuwaomba msamaha wale uliowaumiza, na kurekebisha makosa yako.📌⚠️
Everyone is slowly dying inside. Some stopped taking photos, lost interest in new clothes, hate love, got used to loneliness, or stopped meeting friends. Some accepted what they couldn't achieve. The same people who dreamed big are now just pushing through. Check on your people.
Dear Ladies
Ambao mnatupenda licha ya kuwa hatuna kitu mkiwa na imani tu ipo siku tutakua na kitu amini nawaambia MUNGU hujibu kila ombi na hubariki kila jitihada!
Nguvu na upendo wenu kwetu hauwezi kwenda bure ipo siku isojina mtakula faida ya wepesi wa mioyo yenu!
Amen
Labda fursa yako kubwa iko karibu kuliko unavyofikiria.
Labda inasubiri wakati utakapochagua kuendelea kusonga mbele badala ya kukata tamaa.
Siku ngumu hupita lakini wale wanaobaki thabiti hatimaye hufikia mahali walipokusudiwa kuwa.
🚨🎙️ Micah Richards on Manchester United’s and Chelsea’s 2026/27 blue kits:
🗣️ “How has a club that isn’t even known for blue managed to produce a better blue kit than a club whose entire identity is built around that colour?
And this isn’t even the first time I’ve noticed it.
Somehow, Manchester United always seem to get their blue away kits right.
Meanwhile, Chelsea, a club famous for wearing blue, keep finding ways to overcomplicate something that should be so simple.
I can’t believe I’m saying this, but I genuinely think Manchester United have the better-looking blue shirt this season.” 😭👕🔵
🚨🇪🇸 Marc Casadó can still leave Barcelona this summer with talks to follow with his agent Jorge Mendes.
Approaches from Saudi and Europe with decision to follow.
🎥 https://t.co/Ty7p6hdQpX