Mwanamke anapokuhudumia maungo yake hubadilika kadri muda unavyoenda maana ni tofauti na mwanaume plizz Heshimu.. & Thamini.. Maamuzi yake, ya kukuruhusu wewe ufanye lolote kwenye mwili wake 🙏
Kwa mfano ukakuta mzazi/mlezi ananyanyasa kwa kumfanyia vitendo vya kikatili mfano kumpiga sana mara kwa mara na vitendo vingine kwa yulemtoto anaemlea utachukua hatua zipi? Je Utamuacha aendelee kumyanyasa mtoto huyo kwa kuepuka kuingilia maisha ya watu? #Zuiaukatilikwawatoto